kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Hii haikufikiwaSina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!
#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.
SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?