Bifu la Lady jay Dee na clouds media linazidi

Bifu la Lady jay Dee na clouds media linazidi

Sina wasiwasi na CLOUDS,nauhakika hiyo vita watashinda na kumtokomeza kabisa huyo dada.Mfa maji haishi kutapatapa...!!

#Tokea ifail ile movement strong ya wasanii(antivirus) na Sugu kuamua kuweka silaha chini kwa Ruge sitaki tena kusikia hizi harakati coz tunapotezeana mda tu kuwapa sapot then mkipewa mkwanja mnasurrender.

SWALI: Eti dada JIDE ulikuwa wapi sikuzote?
Hii haikufikiwa
 
Ila mbona JD nyimbo zake zilikuwa zinapigwa sana clouds hadi kama alikuwa anapendelewa hivi (2000-2008)...wasanii wengine wa kike enzi zake ilikuwa mwendo wa kapuni tu (e.g vumilia)...bifu lake na clouds itakuwa kuna sababu zingine aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah watu noma mmeanza kufufua makaburi
 
Back
Top Bottom