Bifu la Lulu na Mange

Bifu la Lulu na Mange

Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]
Mimi nilidhani walidate tu?
Hata hivyo issue ya Zuhura na Hamisa ilishaisha kwa Hamisa kuweka facts mezani jinsi alivyounganishwa kwa Majizzo na Zuhura mwenyewe.
Tumegee hii wengine hatukuipata....
 
[emoji23] Ila mbona amejitahidi sana jamani kuwa msiri?
labda angehamia porini.Ananiuzi majibu ya shombo na majivuno duuuu utafikiri hanyi...
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?
Vipi birthday ya Majizzo unakumbuka alivyomwish?Aliorodhesha watoto wake wote akamuacha wa Hamisa ilikuwa balaa.

Majibu ya shombo + matusi...sijawahi kumpenda Lulu kiukweli,tokea nimjue hadi leo!
 
Umemsahau chusa mfanyabiashara wa tanzanite nae alivuta tena siku ya sherehe za kuzaliwa Lulu, mpaka leo Lulu hajathubutu kufanya sherehe ya kuzaliwa ukumbini ile issue imemuachia kumbukumbu mbaya sana kwenye siku yake muhimu.
alifia ukumbini?
 
Hii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.

Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.

Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.

Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Haahahaaa warumiii huu mwaka wenu mna ubuyu mwingi mpaka wa ladha ya machungwa tushindwe sie walaji wallah mwanangu kuwa uyaone
 
Ngoja lulu akusikie


Ila warumi... huyo mmiliki wa resio yupo ndani au nje????? Sidhani kama kuna bifu kati ya mange na luku...la sivyo mange angemchamba lulu live na lulu alivyo na majibu ya mwendokasi lazima angetuachia ibuyi insta
mange ana ful data za lulu,lulu hawez kuingia pale ataachwa uchiii
 
Back
Top Bottom