Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaahaa, wadada wa mujini bana, sasa hivi utasikia Hamisa na Husna maulid ni marafiki wa kuvaa saresare.. Lulu hana bahati.Angesubiri aolewe kwanza ndio atambe,hata hivyo Majizzo akimuacha atakuwa hakumpenda kweli.
Hamisa anashangiliaje sasa?[emoji23] .
Sawa Unnie Khantwe [emoji4]Kwenye nyuzi kama hizi uwe unamuita na unnie
[emoji23] [emoji23] ameokoka mkemwenza hujui?ila jamani kalulu kana gundu kweli bora aokoke tukweli kweli
Tumegee hii wengine hatukuipata....Hivi Majizzo kazaa na Zuhura?[emoji15]
Mimi nilidhani walidate tu?
Hata hivyo issue ya Zuhura na Hamisa ilishaisha kwa Hamisa kuweka facts mezani jinsi alivyounganishwa kwa Majizzo na Zuhura mwenyewe.
Hajawa msiri kabisa kwa Majizzo,umesahau yale mapichapicha wakawa wanajiita baba na mama nani sijui?[emoji23] Ila mbona amejitahidi sana jamani kuwa msiri?
labda angehamia porini.Ananiuzi majibu ya shombo na majivuno duuuu utafikiri hanyi...
ha hahaha any way jina la Bwana wake lihimidiwe[emoji23] [emoji23] ameokoka mkemwenza hujui?
ameombewa na masanja pepo atoke ila wapi series inaendeleaila jamani kalulu kana gundu kweli bora aokoke tukweli kweli
alifia ukumbini?Umemsahau chusa mfanyabiashara wa tanzanite nae alivuta tena siku ya sherehe za kuzaliwa Lulu, mpaka leo Lulu hajathubutu kufanya sherehe ya kuzaliwa ukumbini ile issue imemuachia kumbukumbu mbaya sana kwenye siku yake muhimu.
Alifia sebuleni kwake, ila Lulu hana amani ya kufanya sherehe ukumbini baada ya ile iliyoandaliwa kwa thamani kubwa kuyeyeka baada ya msiba.. nadhani jinamizi linamjia akiwaza hilo.alifia ukumbini?
sebuleni kwa lulu ama?Alifia sebuleni kwake, ila Lulu hana amani ya kufanya sherehe ukumbini baada ya ile iliyoandaliwa kwa thamani kubwa kuyeyeka baada ya msiba.. nadhani jinamizi linamjia akiwaza hilo.
niendeleee kuwa mtazamajiameombewa na masanja pepo atoke ila wapi series inaendelea
Haahahaaa warumiii huu mwaka wenu mna ubuyu mwingi mpaka wa ladha ya machungwa tushindwe sie walaji wallah mwanangu kuwa uyaoneHii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga bao Mange kimaisha ndio maana Mange anaweweseka kutwa na Majizzo, anajua anampa jeuri Lulu.
Naona anajaribu kufanya kila mbinu akishirikiana na wabaya wa Lulu na Majizzo kumpoteza kabisa Majizzo jambo ambalo amefanikiwa kwa asilimia 10.
Lulu unaambiwa sasa hivi hana raha kutwa full stress. Alijisemea Lemutuz Mange ana spirit ya Jezebel, ana nguvu kubwa sana ya ziada, nguvu ya maangamizi, nguvu ya kuteka akili za watu, nguvu za giza naweza kusema.
Lulu ujiandae mapema, maana Majizzo akitoka polisi hawezi tena kuwa na Lulu,usiulize kwa nini. Huu umbea wa familia, ubuyu exclusive [emoji2][emoji23][emoji23]
Sebuleni kwa Seki!..lolsebuleni kwa lulu ama?
loh luluSebuleni kwa Seki!..lol
mange ana ful data za lulu,lulu hawez kuingia pale ataachwa uchiiiNgoja lulu akusikie
Ila warumi... huyo mmiliki wa resio yupo ndani au nje????? Sidhani kama kuna bifu kati ya mange na luku...la sivyo mange angemchamba lulu live na lulu alivyo na majibu ya mwendokasi lazima angetuachia ibuyi insta
K yake ni kama LULU tehe tehe tehe teheLulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza...
Kanumba alivuta.
Kapteni mbunge wetu naye akavuta.
Majizo naye ataozea selo...
Lulu ana nini Lulu??
mange ana ful data za lulu,lulu hawez kuingia pale ataachwa uchiii