Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap.
Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote.
Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...,
mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la SUGE KNIGHT alimchoma sindano yenye virusi vya ukimwi "AIDS virus" Gonjwa likampata..EAZY-E, ndani ya week mbili tu! akalazwa hospital, akachoka akachakaa na siku zake za kuishi zikaanza kuhesabika.
Kisha SUGE KNIGHT hakuishia hapo..
EAZY-E akiwa anapigania afya yake hospital, ndipo bwana SUGE KNIGHT anatuma watu wawili.
Wapeleke salama kwa EAZY-E, kwamba aambiwe na asikie kuwa huo ndio mwisho wake na hatoimba tena pengine akaimbie kuzimu.
Binafsi habari hii ilinifikirisha sana na mwisho Nikajiuliza nini hasa sababu ya kumfanyia binaadamu mwenzake ukatili wote huu..?
Ni swali ambalo lilikosa majibu ya moja kwa moja.
Lakini kuna siku nilipita katika websites tofauti ili kukusanya information, ndipo nilipokutana na maneno ya Eazy-E ambayo yalinipa huzuni..
Anazungumza EAZY-E I've learned in the last week that this thing is real and it doesn't discriminate. It affectseveryone.
"Akimaanishaa."Nimejifunza katika wiki iliyopita kuwa jambo hili ni la kweli na halibagui. Linaathiri kila mtu"
Perhaps unajiuliza EAZY-E alikuwa anazungumzia jambo gani hapa..? Ni hivi baada ya kufanya vipimo zaidi ya mara3 na akakutwa na virusi vya ukimwi, Eazy-E aliambiwa na madaktari kuwa anapaswa kuiambia dunia kuwa amepatwa na gonjwa la ukimwi.
Na Ikiwa atafanya ivyo Atakuwa amewasaidia vijana wengi juu ya maisha ya ngono.
yaani madaktari wakiwa na maana Eazy-E atumike kama motisha na funzo kwa vijana kuwa ukimwi upo na unaua.
That's why Eazy-E alikubali kuutangazia umma yeye ni mwathirika.
Sasa kitu kilichokuja kunipa mashaka ni kwamba, mambo yote haya yalifanyika ndani ya 2 weeks .
Yaani vipimo vilirudiwa zaidi ya mara3 ndani ya week moja na vikathibitisha kuwa Eazy-E ni mwathirika.
Kisha week iliyofuata madaktari wakamwambia autangazie umma na week ya 3 Eazy-E akafariki.
There's something behind,
Hapa nikaanza kuwaza huenda kuna kitu kingine nyuma ambacho sisi hatukifahamu.
Beef hii ilikuja baada ya ICE cube kujitoa kwenye kundi la Eazy-E na kufuatiwa na Dr Dre pia ambaye alijitoa na kwenda kwenye kundi la SUGE KNIGHT.
Hapa nikaanza kuwaza watu wawili waliotumwa na SUGE KNIGHT kupeleke ujumbe kwa Eazy-E, kwamba hatoimba tena walikuwa ni kina nani..?
Najua una kiu ya kufahamu hilo.. Niko hapa kukusogezea safari ya Eazy-E, juu ya kujitafuta, kujipata, kuishi umaarufu mpaka kifo chake chenye utata mkubwa.
I will be back, shout out to wisdom.
i mean no malice to nobody.