Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

Naijua mzee, halafu sio bogole ni gobole 😁😃.
Kuna mzee alikuwa ana windia nyani, Sema risasi zake ni Kama gololi.

Ko vijana wa yesu wali kaa kimasta, maana Wana jua uhuni wa binadamu🤣🤣
Kumbe ni gobole? Unajua Wazee meno yote yameisha kinywani hivyo tunapata shida kidogo kwenye pronunciation 😜

Vijana wa Yesu walikuwa tayari tayari kwaajili ya mapambano, useme yeye Mwenyewe hakuwa tayari kuwaruhusu waingie front 😅

Mimi mwenyewe bila kuwa mtu wa 🏋️🏋️ na self defense Kuna mjinga mmoja alitaka kuniibia Bibi yenu Mwaka 47, katika mbinu 100 nilitumia mbinu 1 tu na Dogo aliomba msamaha huku akilia machozi 🤗
 
Mkuu tuta Rudi hapa, tumalize huu mjadala.
Kuna Uzi nime kutag kule mmu, naomba maoni na ushauri wako.
 
Back
Top Bottom