Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru Kwa maono yako mazuri, Nita Jitahidi mkuu.
Mimi si mmoja wao MkuuWewe ni tajiri ?
Off course wewe sio tajiri,sasa kipi kinakufanya uhisi matajiri lazima wawe na sifa hizo wakati wewe si tajri ?
🙏🙏🙏Sure nakubaliana nawewe100%
Respect MkuuNiliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap.
Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote.
Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...,
mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la SUGE KNIGHT alimchoma sindano yenye virusi vya ukimwi "AIDS virus" Gonjwa likampata..EAZY-E, ndani ya week mbili tu! akalazwa hospital, akachoka akachakaa na siku zake za kuishi zikaanza kuhesabika.
Kisha SUGE KNIGHT hakuishia hapo..
EAZY-E akiwa anapigania afya yake hospital, ndipo bwana SUGE KNIGHT anatuma watu wawili.
Wapeleke salama kwa EAZY-E, kwamba aambiwe na asikie kuwa huo ndio mwisho wake na hatoimba tena pengine akaimbie kuzimu.
Binafsi habari hii ilinifikirisha sana na mwisho Nikajiuliza nini hasa sababu ya kumfanyia binaadamu mwenzake ukatili wote huu..?
Ni swali ambalo lilikosa majibu ya moja kwa moja.
Lakini kuna siku nilipita katika websites tofauti ili kukusanya information, ndipo nilipokutana na maneno ya Eazy-E ambayo yalinipa huzuni..
Anazungumza EAZY-E I've learned in the last week that this thing is real and it doesn't discriminate. It affectseveryone.
"Akimaanishaa."Nimejifunza katika wiki iliyopita kuwa jambo hili ni la kweli na halibagui. Linaathiri kila mtu"
Perhaps unajiuliza EAZY-E alikuwa anazungumzia jambo gani hapa..? Ni hivi baada ya kufanya vipimo zaidi ya mara3 na akakutwa na virusi vya ukimwi, Eazy-E aliambiwa na madaktari kuwa anapaswa kuiambia dunia kuwa amepatwa na gonjwa la ukimwi.
Na Ikiwa atafanya ivyo Atakuwa amewasaidia vijana wengi juu ya maisha ya ngono.
yaani madaktari wakiwa na maana Eazy-E atumike kama motisha na funzo kwa vijana kuwa ukimwi upo na unaua.
That's why Eazy-E alikubali kuutangazia umma yeye ni mwathirika.
Sasa kitu kilichokuja kunipa mashaka ni kwamba, mambo yote haya yalifanyika ndani ya 2 weeks .
Yaani vipimo vilirudiwa zaidi ya mara3 ndani ya week moja na vikathibitisha kuwa Eazy-E ni mwathirika.
Kisha week iliyofuata madaktari wakamwambia autangazie umma na week ya 3 Eazy-E akafariki.
There's something behind,
Hapa nikaanza kuwaza huenda kuna kitu kingine nyuma ambacho sisi hatukifahamu.
Beef hii ilikuja baada ya ICE cube kujitoa kwenye kundi la Eazy-E na kufuatiwa na Dr Dre pia ambaye alijitoa na kwenda kwenye kundi la SUGE KNIGHT.
Hapa nikaanza kuwaza watu wawili waliotumwa na SUGE KNIGHT kupeleke ujumbe kwa Eazy-E, kwamba hatoimba tena walikuwa ni kina nani..?
Najua una kiu ya kufahamu hilo.. Niko hapa kukusogezea safari ya Eazy-E, juu ya kujitafuta, kujipata, kuishi umaarufu mpaka kifo chake chenye utata mkubwa.
I will be back, shout out to wisdom.
i mean no malice to nobody.
View attachment 2964576View attachment 2964577
Thanks for the appreciation mkuu🙏🙏Respect Mkuu
Respect Mkuu
Halafu Mbona ume jibu kinyonge 😄😂, akati wewe ni mmoja wa wanao ongoza kwenye list ya kuelekea u billionaire Mzee.Mimi si mmoja wao Mkuu
Ila ushahidi wa nadharia unaonesha hivyo
Wanasema habari za tajiri muulize maskini 😜
Anyways
Umewahi kuonja safari ya mafanikio vile ilivyo na vikwazo?
Mathalani umejiwekea lengo la kumiliki milioni 120 mwishoni mwa Mwaka, zile ups and downs
Kuna sehemu unalazimika kuwa bandidu kuweza kufanikiwa
That's what I meant 🙌
We kijana acha mihemko, nimekwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory.Kwenye movie hakuna sehemu suge knight kahusika na mauaji.
Au we hua unatafuta vijistory gani
We mzee usiache mihemko, sijakwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory. Kwani vijistory vingine suge ndo muuaji??We kijana acha mihemko, nimekwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory.
Kwani vijistory vyote hiyo suge ndo muuaji??
Upo sahihi chiefMimi si mmoja wao Mkuu
Ila ushahidi wa nadharia unaonesha hivyo
Wanasema habari za tajiri muulize maskini 😜
Anyways
Umewahi kuonja safari ya mafanikio vile ilivyo na vikwazo?
Mathalani umejiwekea lengo la kumiliki milioni 120 mwishoni mwa Mwaka, zile ups and downs
Kuna sehemu unalazimika kuwa bandidu kuweza kufanikiwa
That's what I meant 🙌
Ndio hujaniambia mimi ndo nakwambia sasa kijana, vijistory vinaungwa ungwa inapatikana movie based on true events.We mzee usiache mihemko, sijakwambia movie imetokana na moja ya hivyo vijistory. Kwani vijistory vingine suge ndo muuaji??
🙏🙏Upo sahihi chief
Tangu Kijana mmoja humu aseme nijiandae atakuja kuniteka Mimi pamoja na Bibi yenu, nikaamua kwenda kutupa hela zote Mto Msimbazi, bora hela ziende na Maji kuliko kuchukuliwa na Kaka Jambazi 😜Halafu Mbona ume jibu kinyonge 😄😂, akati wewe ni mmoja wa wanao ongoza kwenye list ya kuelekea u billionaire Mzee.
Mimi kama Wana kuja waje tu, na vile Sasa hivi mi ni jobless pro max.Tangu Kijana mmoja humu aseme nijiandae atakuja kuniteka Mimi pamoja na Bibi yenu, nikaamua kwenda kutupa hela zote Mto Msimbazi, bora hela ziende na Maji kuliko kuchukuliwa na Kaka Jambazi 😜
Hahaha.........Bora wewe Kijana unaweza kupimana nao nguvu, Mimi na Bibi yako unajua vile tumezeekaMimi kama Wana kuja waje tu, na vile Sasa hivi mi ni jobless pro max.
Wata chezea kabali ya shingo, Mpaka wamwone mtoa roho 😂🤣
Tafuta shotgun hii ni fumua fumua, magnum ina penetrate au Beretta 😃🤣, ila sihusiki na maamuzi yako.Hahaha.........Bora wewe Kijana unaweza kupimana nao nguvu, Mimi na Bibi yako unajua vile tumezeeka
Bila usaididizi wa Manati ya Mzungu (Pistol) hatuwezi kutoboa 😜🙌
Maana kama kulenga shabaha niko vizuri, hata Kaka Jambazi awe Umbali wa mita 750 I can still hit the target 🏃🏃🏃
Self defense kwenye zama hizi ni muhimuTafuta shotgun hii ni fumua fumua, magnum ina penetrate au Beretta 😃🤣, ila sihusiki na maamuzi yako.
Una Kumbuka nili muuliza kuhusu kale ka ushauri!?, Basi nili Anza Hadi kupanga the way to be safe😃🤣.
Nika waambia home they need to be alerted on anything 😁.
Dah we zee ni muhuni, Eti yesu😃.Self defense kwenye zama hizi ni muhimu
Hata nyakati za Yesu, alikuwa anatembea na Wanafunzi wake ambao kabla hujamfikia lazima ukumbane nao wao
Tena Kuna mahali, walipovamiwa na wale askari wa Herode, mmoja wa Wanafunzi wake alichomoa Kisu na Kumkata Sikio mmoja wa Maaskari katika kumlinda Kiongozi wao (Yesu)
Nitafanya mpango nipate hiyo Shotgun pamoja na Ulinzi wa Kijadi ili kujilinda vyema 😅
Katika Movie ya Yesu, kile kipande cha Petro anachukua Kisu na Kumkata Sikio yule askari huwa nakipendaDah we zee ni muhuni, Eti yesu😃.
Shotgun ujue kutumia Sasa, usije ukawa una tetemeka mbele ya adui.
Kuna babu yangu upande wa mama, alikuwa jeshini mwenye cheo kizuri tu.
Siku naona chuma for the first time, nili pata woga na ujasiri aisee😂.
Nilikuwa 8 Kama sija kosea.
Naijua mzee, halafu sio bogole ni gobole 😁😃.Katika Movie ya Yesu, kile kipande cha Petro anachukua Kisu na Kumkata Sikio yule askari huwa nakipenda
Inaonesha, pamoja na ukomavu wa Maombi waliyokuwa wakiyafanya katika kumshinda Shetani, ila still walikuwa na self defense 😜
Kuhusu kutumia hiyo shotgun, nitaenda kupata mafunzo kwenye Kampuni binafsi za Ulinzi, japo nina uzoefu wa Kutumia Bogole
Ile silaha ambayo ukishapiga risasi Moja, lazima uanze kuikoki then baadaye kabisa ndiyo inatoka risasi nyingine