Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nataka mafanikio sio utajiriWe hutaki kufanikiwa Mzee , au una taka uwe Kama Mzee pilipili 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka mafanikio sio utajiriWe hutaki kufanikiwa Mzee , au una taka uwe Kama Mzee pilipili 😁😁
UongoSio wote wanao badilika, wengine Wana Elewa maana ya low key na faida zake.
Utajiri ni matokeo tu, ila mafanikio ni achievement za Malengo au mambo fulani uta takayo.Nataka mafanikio sio utajiri
Ngoja nione masahihishoUtajiri ni matokeo tu, ila mafanikio ni achievement za Malengo au mambo fulani uta takayo.
Wakubwa kina Black Sniper na Grahams watu sahihishe hapo.
Basi mzee 😂😂 Grahams, kusema ukweli Mimi utoaji wangu labda Kwa familia na watu wenye uhitaji.Huyo hawezi kuhonga, nilisoma sehemu huku huku JF alihonga shilingi 3k ya Vocha na bado akawa anajilaumu eti kahonga hela nyingi 😜
Angejua vile Wazee tunavyohonga si angetuonea huruma 😜
Watu tunahonga mashamba ya urithi kabisa 😅🙌
Kweli mfalme wa machale mbaya zaidi kawatapeli hadi wayahudi hela zao za nyumba.Ewaa, Ali wata peli Mpaka soko la hisa la marekani.
Mwamba ni jasusi haswaa, akili kubwa na mfalme wa machale😁
Upo sahihi kabisa hapo mkuuUtajiri ni matokeo tu, ila mafanikio ni achievement za Malengo au mambo fulani uta takayo.
Wakubwa kina Black Sniper na Grahams watu sahihishe hapo.
Kuna ile interpol, fbi na CIA wali mkosa ndani ya dk 5 tu😁😁Kweli mfalme wa machale mbaya zaidi kawatapeli hadi wayahudi hela zao za nyumba.
Ninachomkubali hakai Kwa kulemaa yani muda wote yupo na machale.
Pamoja mkubwa, Natumai Half american ata elewa.Upo sahihi kabisa hapo mkuu
Remember Me. OG two ToneUsizisikilize sana conspiracy theories.
Ukicheki hata muvi tu ya Straight Outta Compton unapata majibu.
Umesema sahihi Mkuu, ukiweza kuyaishi hayo unayoyasema utakuwa mbali KiuchumiBasi mzee 😂😂 Grahams, kusema ukweli Mimi utoaji wangu labda Kwa familia na watu wenye uhitaji.
Hata familia wana limitation zao, tofauti na hapo mi nataka tufanye kazi mambo yajipe tu
Starehe zipo, but hustling haikusubiri.
Akili kubwa sanaKuna ile interpol, fbi na CIA wali mkosa ndani ya dk 5 tu😁😁
For real sipendi kuishi circle ile Ile niliyo kua au kuona.Umesema sahihi Mkuu, ukiweza kuyaishi hayo unayoyasema utakuwa mbali Kiuchumi
Otherwise usubirie kuishi Kwa pension kama Wazee wako hapa 😜
Sahihi kabisaUtajiri ni matokeo tu, ila mafanikio ni achievement za Malengo au mambo fulani uta takayo.
Wakubwa kina Black Sniper na Grahams watu sahihishe hapo.
Naam uko sahihi, laki ya watu uli tuMa lakini😀Sahihi kabisa
Ili kuweza kupata achievement kwenye maisha lazima u-set malengo na mwisho wa Mwaka unajifanyia assessment
Asisikilize conspiracy theories halafu akacheki movie 😂😂😂.Usizisikilize sana conspiracy theories.
Ukicheki hata muvi tu ya Straight Outta Compton unapata majibu.
Kuna watu Wana ujuaji wa kipimbi Sana 🤣😂😂Asisikilize conspiracy theories halafu akacheki movie 😂😂😂.
Sasa movie si ndo imetokana na moja ya hivyo vijistory.
Nimecheka sana mkuu, hizi conspiracy theories kwa wamarekani ni unkwepabo ila ndo utumie mbongo yako kuchuja kweli na si kweli.Kuna watu Wana ujuaji wa kipimbi Sana 🤣😂😂
Kuna mwamba hapo juu kani chekesha kinyama, Eti ruthless sio label🤣😂.Nimecheka sana mkuu, hizi conspiracy theories kwa wamarekani ni unkwepabo ila ndo utumie mbongo yako kuchuja kweli na si kweli.
Movie wanachukuaga ile iliyobamba zaidi wanaiongezea nakshi nakshi unaambiwa based on true events.