Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

Kwani haiwezekani kuwa tajiri na ukayaepuka kuishi yote uliyoyataja?
Linawezekana sana na ninawajua matajiri wazungu na wahindi hapa ambao wana mkwanja haswa lakini maisha yao ni simple sana

Wamenunua majumba kona za Dunia na zimekaa tu mpaka wanapoenda holiday tu
Uzuri huku labda nyumba zao ndio zinatisha ila maisha yao wanaishi sio ya kujionyesha kama waafrika ambao lazima ajionyeshe na kutembea na wapambe au bodyguard 😄

Ila maisha ukiyachukulia simple hata huoni utajiri wako bali utaishi kawaida sana
 
Ngozi tuna too much noise, zinazo pelekea too much alert kwa maadui.
 
Kuna series Ina itwa breaking bad, Kuna Jamaa alikuwa mwema usoni.

Yaani mtoaji wa misaada, rafiki, ila aisee ni zaidi ya bandidu.
Im sure unamuongelea bwana Gustavo Frings a.k.a Gus from Los pollos hermanos.
To be honest, Gus alikua na akili mingi sana yule chalii. Alikua ameiset empire yake so nicely kias kwamba angeweza kusurvive for many years, sema akamuingiza mkuda Walter ndo hapo akanyea kambi.
 
Linawezekana sana na ninawajua matajiri wazungu na wahindi hapa ambao wana mkwanja haswa lakini maisha yao ni simple sana

Wamenunua majumba kona za Dunia na zimekaa tu mpaka wanapoenda holiday tu
Uzuri huku labda nyumba zao ndio zinatisha ila maisha yao wanaishi sio ya kujionyesha kama waafrika ambao lazima ajionyeshe na kutembea na wapambe au bodyguard 😄

Ila maisha ukiyachukulia simple hata huoni utajiri wako bali utaishi kawaida sana
Hayo yanawezekana kwa wenzetu ila rangi nyeusi wengi wakipata utajiri hubadilika sana.
 
Umalaya afanye yeye halafu baada ya kupata ukimwi uje umsingizie Suge knight?

Easy E alipotoboa na kuwa na title mjini alikuwa anapita na kila demu. Na hadi akaanza kuwatenga wenzake akina Ice cube, akina Dr. Dre na yule mwamba mwingine jina limenitoka yeye ni bata na bata na yeye.

Alikuwa anapita sana na mademu hovyo bila tahadhari yoyote na mwishowe akauvaa. Na sio kwamba alikuwa hajui alijua mwanzoni ila akaendelea na umalaya wake sababu si alijua ukimwi ni kama mafua tu hautamletea shida yoyote.

Kumbe ile anavyofanya hovyo, plus kurudia mademu ambao wote wameshaathirika na ulaji mbovu plus pombe na bangi na madawa ya kulevya kinga ya mwili ikawa inadhoofu ndio maana akaanza kuumwa ghafla na kulazwa na hatimae kukata kauli.

Suge knight anabambikiwa kesi nyingi sababu ya ufala wake wa kujifanya yeye ni mbabe ndio maana hata msala wa 2Pac akatupiwa yeye. But kwa bahati nzuri juzi hapa amejitokeza mojawapo ya waliompiga risasi 2pac na sasa ametiwa mbaroni na ameconfess ukweli kwa kilichotokea. Bwege m'moja hivi. So Suge knight imeonekana alibambikiwa ile kesi.
 
Back
Top Bottom