Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kumbe ni gobole? Unajua Wazee meno yote yameisha kinywani hivyo tunapata shida kidogo kwenye pronunciation 😜Naijua mzee, halafu sio bogole ni gobole 😁😃.
Kuna mzee alikuwa ana windia nyani, Sema risasi zake ni Kama gololi.
Ko vijana wa yesu wali kaa kimasta, maana Wana jua uhuni wa binadamu🤣🤣
Vijana wa Yesu walikuwa tayari tayari kwaajili ya mapambano, useme yeye Mwenyewe hakuwa tayari kuwaruhusu waingie front 😅
Mimi mwenyewe bila kuwa mtu wa 🏋️🏋️ na self defense Kuna mjinga mmoja alitaka kuniibia Bibi yenu Mwaka 47, katika mbinu 100 nilitumia mbinu 1 tu na Dogo aliomba msamaha huku akilia machozi 🤗