Bifu la maslahi, linavyokatisha maisha ya mwana harakati wa mtaani

Jana nime tafakari Sana, ange chukua mtu wa mbali Halafu aka Ina.
Ange waza nime chukua mtu baki kani ibia, SI Bora ninge leta ndugu.

haya ndugu kaiba, Sijui ka ata mwamini mtu TenaπŸ€’.
Kwenye biashara hutakiwi kumwamini mtu hata kama atakuwa Baba yako Mzazi

Vinginevyo tengenezeni MoU then umwajiri na kumlipa mshahara kama wafanyakazi wengine ili akizingua unampeleka Mahakamani
 
Kwani haiwezekani kuwa tajiri na ukayaepuka kuishi yote uliyoyataja?
 
Easy E alikuwa Prayer mZuri tu,mademu kibao watoto 9 Kila mtu na mama yake ,Suge knight take it for granted Kwamba walim inject sindano ya positive with aids,namkubalinSuge Knight ila ni mtu muongo muongo na mzushi walisha wahi kumtumia Dr Dre demu mwenye Ngoma alale naye ,no truth of the fact Suge knight did it to easy E.
 
Kwenye biashara hutakiwi kumwamini mtu hata kama atakuwa Baba yako Mzazi

Vinginevyo tengenezeni MoU then umwajiri na kumlipa mshahara kama wafanyakazi wengine ili akizingua unampeleka Mahakamani
Naelewa hiyo mkuu, na huo ushauri wape watakao oa πŸ˜†πŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…