Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Ongeeni yoooote, lawama, nk lakini ukweli Ni kuwa Ray alitengeneza kiki ili kumzima konde, matokeo yake kiki imegeuka kuwa kisanga.Hakuna Cha utetezi hapa kila mtu apambane na Hali yake.
 
Mshaurini huyo Domondi kwenye shughuli za kiofisi avae kiheshima ,hiyo minywele kama juma lokole haifai....hiyo minywele ni kwenye usanii wake ndio inafaha.
Wewe kweli nyumbu!

Unaelewa maana ya mtu kuwa msanii?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Suti si imavaliwa na muhuni mkuu. Kiukweli angekuwa hana hizo nywele angetoka chicha zaidi

Ukweli lazima usemwe ,hauwezi kwenda kukutana na waziri au kiongozi mkubwa wa kiserikalini tena kwa shughuli za kutangaza ofisi yako ukavaa kuhuni huni.

Kama hataki kukata minywele basi kwenye shughuli za kiofisi aende mtu decent akamuwakilishe.
 
Umenifanya nicheke kwa sauti..... Unaonekana wewe ni team CHui.....Kuhusu Harmo nadhani yuko sahihi,..sema wasanii wetu bado wana ufinyu wa mawazo,..wanawaza leo tu hichi ndo kinachomponza role model wako
 
Fija ujinga wako wewe mbweha kwani huyo waziri/kiongozi ameenda kuzindua album hapo wasafi? Master j si msanii/producer? Mbona likata nywele alivyoenda kwenye usahili wa wajumbe?
Sasa kwa upumbavu wako, diamond anagombea ubunge hapo?

Hizo nywele ndio sehemu ya kazi yake pia kama hujui na hata huyo waziri anaenda hapo ofisini kwa diamond akijua anaenda kukutana na msanii na hata hiyo ofisi imetokana na usanii unaojumlisha hizo nywele!

Usiwe jinga.
 
Umenifanya nicheke kwa sauti..... Unaonekana wewe ni team CHui.....Kuhusu Harmo nadhani yuko sahihi,..sema wasanii wetu bado wana ufinyu wa mawazo,..wanawaza leo tu hichi ndo kinachomponza role model wako
Harmo yupo sahihi Kwa lipi we kilaza ,ngoja movie iishe bas tuone Nani ndezi ,... Mwenye shahawa yake katulia ,nyie wamakonde ndo mnadandia dandia
 
Wasafi team mnawashwa sana
 
Slowly πŸ†πŸ†πŸ†.. kawakilishwa na Salam_ Sk na Babu Tale. Wazee wa fitina
Salam sk mtu mbaya katupia wimbo wa chui wa valentine na ndo namba moja trending πŸ˜€πŸ˜€ katuuliza Wana tunapenda mstari upi kama kawa Aiiiii , nitatoa mahari Kwa Mzee masanjaaaaaaaaa.....tushashinda tayari Ila Mmakonde tunalala naye Perpendicular πŸ˜‹
 

Elimu Elimu Elimu ,kumuelimisha Mpumbavu ni kazi sana!! Kaa na Ujinga wako wewe MBWEHA WAHED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…