King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Alikuwa anagongwa na wamasai zanzibar.Sija kupata kwa wamasai mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anagongwa na wamasai zanzibar.Sija kupata kwa wamasai mkuu?
Mshaurini huyo Domondi kwenye shughuli za kiofisi avae kiheshima ,hiyo minywele kama juma lokole haifai....hiyo minywele ni kwenye usanii wake ndio inafaha.
Ila King Kong III hujaona suti hiyo ilivyo mkaa mzee..Mshaurini huyo Domondi kwenye shughuli za kiofisi avae kiheshima ,hiyo minywele kama juma lokole haifai....hiyo minywele ni kwenye usanii wake ndio inafaha.
Ila King Kong III hujaona suti hiyo ilivyo mkaa mzee..
😀😀😀 Suti si imavaliwa na muhuni mkuu. Kiukweli angekuwa hana hizo nywele angetoka chicha zaidiSuti imeharibiwa na minywele ya kihuni,si uliona Master J alivyotaka kugombea Ubunge akaikata Minywele ya kihuni??
Wewe kweli nyumbu!Mshaurini huyo Domondi kwenye shughuli za kiofisi avae kiheshima ,hiyo minywele kama juma lokole haifai....hiyo minywele ni kwenye usanii wake ndio inafaha.
😀😀😀 Suti si imavaliwa na muhuni mkuu. Kiukweli angekuwa hana hizo nywele angetoka chicha zaidi
Wewe kweli nyumbu!
Unaelewa maana ya mtu kuwa msanii?
Umenifanya nicheke kwa sauti..... Unaonekana wewe ni team CHui.....Kuhusu Harmo nadhani yuko sahihi,..sema wasanii wetu bado wana ufinyu wa mawazo,..wanawaza leo tu hichi ndo kinachomponza role model wakoHii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.
Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.
Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.
Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?
Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.
We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Sasa kwa upumbavu wako, diamond anagombea ubunge hapo?Fija ujinga wako wewe mbweha kwani huyo waziri/kiongozi ameenda kuzindua album hapo wasafi? Master j si msanii/producer? Mbona likata nywele alivyoenda kwenye usahili wa wajumbe?
Harmo yupo sahihi Kwa lipi we kilaza ,ngoja movie iishe bas tuone Nani ndezi ,... Mwenye shahawa yake katulia ,nyie wamakonde ndo mnadandia dandiaUmenifanya nicheke kwa sauti..... Unaonekana wewe ni team CHui.....Kuhusu Harmo nadhani yuko sahihi,..sema wasanii wetu bado wana ufinyu wa mawazo,..wanawaza leo tu hichi ndo kinachomponza role model wako
Wasafi team mnawashwa sanaHii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.
Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.
Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.
Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?
Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.
We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Salam sk mtu mbaya katupia wimbo wa chui wa valentine na ndo namba moja trending 😀😀 katuuliza Wana tunapenda mstari upi kama kawa Aiiiii , nitatoa mahari Kwa Mzee masanjaaaaaaaaa.....tushashinda tayari Ila Mmakonde tunalala naye Perpendicular 😋Slowly 🐆🐆🐆.. kawakilishwa na Salam_ Sk na Babu Tale. Wazee wa fitina
Sasa kwa upumbavu wako, diamond anagombea ubunge hapo?
Hizo nywele ndio sehemu ya kazi yake pia kama hujui na hata huyo waziri anaenda hapo ofisini kwa diamond akijua anaenda kukutana na msanii na hata hiyo ofisi imetokana na usanii unaojumlisha hizo nywele!
Usiwe jinga.
Tamko la muhusika (paula) hili hapa. View attachment 1704132