Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,375
siwezi kupita muache
kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna
ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie
Did funguka bwana,ina
maana Mrs Ndi(tusi)na anatoka na bepari wa bamaga??!! Nilizan zamani na
yashaishaga mahaba!!
Watanzania acheni umbeya
ninyi fanyeni kazi .mmekalia majungu wenzenu wanatandika mabomba ya gesi
mkimaliza hao na gesi wanaelekea kwao
siwezi kupita muache
kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna
ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie
Wewe hmu uliingia
kufanya nni? , yaan hakuna nitakachoacha kufanya humu hadi nipende mm
mwenyew sio kwa ajil ya nyie misukule
Hahaha siku hizi chit chat, na MMU hapanibariki kabisa. Niko huku downstairs manake kwa juice ya miwa ilochanganywa na ndimu hapajambo...
umeshaambiwa Celebrities forum ulitaka tuchunguze mimea!!!!!!!!!!!!
Anazaa na wafanyakazi, sembuse kutoka na Mrs Ndiku!
Sijakupata mdau ila coming soon............?Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na soon atauanika, hata hivyo hakufanya hivyo, kama alivyoahid, hivyo basi #Team Gossipcopwarumi imeingia mzigoni na kuzinyaka siri nzito na za kutisha , kaeni mkao wa kula soon mtapata mautamu ya mtumishi huyu wa mungu ambaye ameanzisha operation yake ya kufichua maovu , hivyo sisi tunaendeleza libeneke
Coming Soon...
mmmmh sielew chochote
ingekuwa nchi nyingine, huyu jamaa angeshamiminiwa risasi za kichwa, lakini naamini ipo siku yatamkuta tu, mtakuja kuniambia hapa jukwaani!
Sio binadamu huyu! Kawafanyia watu wengi sana mambo ya kifirauni. Kuna jamaa walimkosakosa kipindi fulani, naamini bado wanamlia taiming!
dah... Jamaa ingawaje nilikuwa cmuamini amini lakini it didn't cross my mind kwamba mla visamvu vilivyochacha! Afu anapiga mawe wenzake wakati anaishi nyumba za vioo!!??
Ok waiting to hear and read.Ntafungua thread kuhus ishu yake
kama unakula juice ya muwa Hawaii au copacabana vile
Erick ndio anapenda hizo ishu.... kula kisamvu
we acha tu, huku chini siku hizi kumewaka moto
wewe HOE wewe!(kwa sauti ya mama kidole wa mchepuko)