Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

siwezi kupita muache
kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna
ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie

Wewe una matatizo gani? Hebu toka uendelee na yako Bwana!
 
siwezi kupita muache
kudiscuss na nuchunguza mambo ya watu mwanaume mzima cha kuongea huna
ukisutwa unakimbilia mahakamani wanaume wenzio wakusaidie

This Moth.. f...ker is full of Shit, kauli za kishenzi kaa nazo, umeitwa huku? Au huyu mpuuzi tunaemjadili ni Mumeo?
Kama ni mumeo, kamwambie tumemchoka na Tunakuja!
 
Wewe hmu uliingia
kufanya nni? , yaan hakuna nitakachoacha kufanya humu hadi nipende mm
mwenyew sio kwa ajil ya nyie misukule

Chukua like Mkuu! Huyu mpuuzi tumuexpose watu wamjue! I hate hawa wapumbavu wanaojipendekeza kwake utadhani wamelipwa, mbona yeye ni mwanaume lakini hachagui anaowafuatilia? Mbona anafuatilia hata mambo ya wanaume wenzie?
Hoja nyingine za kipuuzi sana.
 
Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na soon atauanika, hata hivyo hakufanya hivyo, kama alivyoahid, hivyo basi #Team Gossipcopwarumi imeingia mzigoni na kuzinyaka siri nzito na za kutisha , kaeni mkao wa kula soon mtapata mautamu ya mtumishi huyu wa mungu ambaye ameanzisha operation yake ya kufichua maovu , hivyo sisi tunaendeleza libeneke
Coming Soon...

attachment.php
Sijakupata mdau ila coming soon............?
 
ingekuwa nchi nyingine, huyu jamaa angeshamiminiwa risasi za kichwa, lakini naamini ipo siku yatamkuta tu, mtakuja kuniambia hapa jukwaani!
Sio binadamu huyu! Kawafanyia watu wengi sana mambo ya kifirauni. Kuna jamaa walimkosakosa kipindi fulani, naamini bado wanamlia taiming!

anatumia dini kuficha maovu yake..........

Ngozi ya kondoo roho ya chui
 
dah... Jamaa ingawaje nilikuwa cmuamini amini lakini it didn't cross my mind kwamba mla visamvu vilivyochacha! Afu anapiga mawe wenzake wakati anaishi nyumba za vioo!!??

anatumia ofm vibaya na kujipatia fedha..........
 
Back
Top Bottom