Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Kuna kipindi nilikua nasoma maisha ya shigongo,akijarib kugusia mvutano wake na Ruge,,mpka akina Ruge wakampenyeza na kumpandikiza demu mmoja ofisin kwa shigongo muandishi wa habar ili bahat mbaya akashtukiwa na kukiri akafukuzwa..

Unapopigana na mwenye hela na zana zote za kupiania akiwa nazo uangalie sana mwisho wako.. Kma ni maslahi kila mtu ana mitego yake,na michongo yake ila kuna atakaeaibika mbeleni.

Namkubali sana Ruge,namkubali sana Shigongo na namkubali sana Babu Tale, ila hii vita ukiitazama kwa jicho la tatu itamuangukia tale,na kwa vile ni mtu wa kupanic itamuumiza zaid

Silaha ya shigongo kwa Ruge ni mimba ya Zamarad japo sio kosa sana kubeba mimba ya boss wako ila suala la ngada linaweza kua kikwazo kidgo pia kwao....
So ukiangalia shigongo atawashinda kwa 56/44
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
 
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
Mbona wote wamekubali kuwa ni wapenzi na wana watoto wawili??tafuta take one aliyohojiwa zamaradi,na papokwapapo na papi aliyohojiwa ruge
 
Wajameni, kuna aliyesoma povu lote atupe summary kidogo? Mi nimeishia hapo watoto zake wakilala yeye huwa anakasirika!
 
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
uko nchi gani swahiba wana watto wawili
 
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu

Naona umeingia mjini na mbio za Mwenge,
 
Back
Top Bottom