Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Wewe unaonaje? Facts vs. complaints. Unaelewa maana yake? Au huko shuleni ulienda kusomea ....?Naona unalalamika Vp walikuwahi kukutumbua nin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonaje? Facts vs. complaints. Unaelewa maana yake? Au huko shuleni ulienda kusomea ....?Naona unalalamika Vp walikuwahi kukutumbua nin
Nani huyo mkuu?mtu mzima anaweza kudharirika ujue!
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuuKuna kipindi nilikua nasoma maisha ya shigongo,akijarib kugusia mvutano wake na Ruge,,mpka akina Ruge wakampenyeza na kumpandikiza demu mmoja ofisin kwa shigongo muandishi wa habar ili bahat mbaya akashtukiwa na kukiri akafukuzwa..
Unapopigana na mwenye hela na zana zote za kupiania akiwa nazo uangalie sana mwisho wako.. Kma ni maslahi kila mtu ana mitego yake,na michongo yake ila kuna atakaeaibika mbeleni.
Namkubali sana Ruge,namkubali sana Shigongo na namkubali sana Babu Tale, ila hii vita ukiitazama kwa jicho la tatu itamuangukia tale,na kwa vile ni mtu wa kupanic itamuumiza zaid
Silaha ya shigongo kwa Ruge ni mimba ya Zamarad japo sio kosa sana kubeba mimba ya boss wako ila suala la ngada linaweza kua kikwazo kidgo pia kwao....
So ukiangalia shigongo atawashinda kwa 56/44
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
Mbona wote wamekubali kuwa ni wapenzi na wana watoto wawili??tafuta take one aliyohojiwa zamaradi,na papokwapapo na papi aliyohojiwa rugeHapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
uko nchi gani swahiba wana watto wawiliHapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
IPO Mingapi mkuu, itaje[emoji3] [emoji3] [emoji3]HII MISUKUMA SIJUI VIPI?.YAANI INATAKA KILA KONA TUWASIKIE WAO TUU.
Hapa ndipo ninapoikubali JF kila kitu unakipata humu Leo ndo nimejua Ruge na Zamaradi ni wapenzi hadi wakapeana na mimba kwa hiyo mtoto keshazaliwa tayari au?? Hebu nimalizie huu ubuyu mkuu
kaulizwa kuhusu afya yake anaendeleaje...Ngoma imefika patamu,mimi natamani tu kujua alichoulizwa Zamaradi [emoji39]