Bifu la Zari bossy lady, Anitha Fabiola lafika pabaya...


Ila anitha mzuri, Zari angem ignore tu , kampa umaarufu bure , hakuna aliykua anamjua anitha, now she is all over [emoji23]
 
Nyuzi za binamu kama hauna connection huwezi kuzielewa nikuishia kusoma majina tu basi unasepa
 
Nimeangalia ni kweli mara ya kwanza Zari alikuwa anaongea ongea lkn baadae Anita aliomba msamaha yakaisha na akamtangaza mshindi vzr na Zari akiwa anashangilia sidhani kwa upande wangu kama ilikuwa big issue
Zari amezomewa vibaya mno tena alipojaribu kujitetea ndiyo akawa anaharibu anazomewa zaidi kwa kifupi kajivua nguo jukwaani.
 
Bora fabiola mic yake ilichukuliwa


Angeweza kwenda kumuambia sikioni.. ila nae alipandwa sijui kupata kiki..

Eeeeh kituko.. lazima waeleze kilichojiri
Moja kati ya waliokua wasemaji aliona achukue mic ya mmoja wapo kuhofia watu kurushiana vijembe ila pamoja na hayo Zari akendelea kujivua nguo kwa kujaribu kujitetea na mbaya zaidi huyo fabiola akarudishiwa mic akaendelea kumjazibisha Zari
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeskip video wewe.
Angalia upya
 
Ila Zari anapendwa jamani hadi kaanzishiwa uzi kwa jambo dogo kama hilo aiseeee

Zari this , Zari that, she is a queen of the east[emoji23] aka Camilla the drug queen [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeskip video wewe.
Angalia upya

Kamanda mimi hiyo video nimesha iangalia sioni hilo unalo lisema sema maana Zari alikuwa ana ongea huyo anita alikuwa na Mic yake na akaanza kuingilia kati wakati anaongea.Utaratibu ni kwamba mtu akiwa anaongea ni vibaya kuanza kumkatisha na kuingilia na alichokuwa ana kifanya Zari kama judge alikuwa ana wa inspire washiriki na wahudhuriaji na video ilikuwa inaonesha walikuwa wanashangilia kumsikiliza kabla hata ya huyo Anitha ajaingilia na kuanza kuongea juu ya maneno ya mwenzie.

Zari aliona ampe asome yeye washindi maana alikuwa hataki kumpa nafasi wakati ilikuwa nafasi ya judge....
 
Mkuu unahitaji subtitle?
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…