warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Ongeza na hiyo chini.Inawezekana ikawa "macho yanacheka moyo,unauma............."Inawezekana bado bi mkubwa anamkumbuka Mondi.Hapo unaweza kukuta hata huyo Anitha Mondi kishapita maana jamaa zipu mbovu,hapigiwi anacheza,pakavu anateleza.
View attachment 1164347
Ila anitha mzuri, Zari angem ignore tu , kampa umaarufu bure , hakuna aliykua anamjua anitha, now she is all over [emoji23]