Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Ache umbea wa kike na uchonganishi... Kayasema wapi?
 
Ni mwendo wa ubuyu tu hakuna cha ziada.
 
Hivi huyu gwajima hanaga kitukingine cha maana chakufanya zaidi ya kujibizana na watu.
Haya mambo ya kujibizana kilasiku yatamshushia heshima.
 
Ni mwendo wa ubuyu tu hakuna cha ziada.
 
Huyu mtoto anachanganyikiwa..... Hivi anajua kuwa show moja ya ngwajima inajaza uwanja wa taifa na watu elfu10 wanavaki nje..... Halaf Ibada ya wiki hii ni ndefu, inaanza ijumaa. We tafuta hayo makiki tu.
 
Ukisoma comments za watu unaweza ukajua uwezo wao wa kufikiri.......jf ishakua ka fb sasa wale Great Thinkers wamepungua. Angalien io picha vizur mcomment tena.
 
Ofcoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…