DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Diamond repliesUmeelewa account nilokwambia uifollow?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond repliesUmeelewa account nilokwambia uifollow?
Naliamsha dudeeee (in gwajima's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndiyo mkome kulitibua dude
Mwambieni huyo gwajima aziweke Hakuna bifu MzeeHuyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Ndio account yake haswa followers 3.5 millionsio account ya diamond hyo
Mi ni nani kwa gwajima? Na wapi nimesema kuna bifu?Mwambieni huyo gwajima aziweke Hakuna bifu Mzee
Wacheni kukurupukia ujinga
hii si Acc ya Diamond
Mbona wazushi nyie!!
Mtawashika wapuuzi
Ni mwendo wa ubuyu tu hakuna cha ziada.Acha kukuza issue, anamjibu aliyemsema humo. Hamjui kuna watu wanatukana na kumpandia mtu hadi lazima yeye ameshindwa kuvumilia.
Naye ni binadamu, acha awajibu lolote
Gwajima kanisa lake lichunguzwe kiundani, ni la nini haswa. Hawamwabudu Mola bali udaku tu kupaisha biashara hiyo.

People are so stupid bitcjes can say anything about this man because of his past....but could be
just looking for a pay day!
OfcozUnaposema huenda aliona , hapo unaongea kitu ambacho ni probability so huna uhakika nacho. Nakubaliana na wewe kwamba comments anazijua na si lazima aone yeye kama yeye but ana watu wengi wa karibu wanaomzunguka wanaoweza kumpa updates za kinachoendelea mtandaoni.
ndogo afanye mzki aache kutafuta kiki kwa watumish wa Mungu
Wacheni kukurupukia ujinga
hii si Acc ya Diamond
Mbona wazushi nyie!!
Mtawashika wapuuzi