johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Usihuku usije kuhukumiwaMONDI ni wakala wa shetani ushahidi wa nini?
Kuliko aje remix ambayo adi mdaa huu viewz 800k inazitafuta kwa tochiTushamchoka kaona linyimbo limebuma kaona amchokoze gwajima
Gwajima ndo anaetafuta sadaka...Huyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Umeona sio Yake wanamchonhanishasio account ya diamond hyo
Anasupport kubwa ... My lord.. Toka wapi!?? Hivi mbona vilaxa mnaongezeka nchini kwa kasii!??Sio kwamba ni kiki ili apate kupromote nyimbo yake hiyo kwa sababu kwa sasa gwajima ana public support kubwa?
Kazi zake ZINAMHUKUMUUsihuku usije kuhukumiwa
Hapa "fiksa", kajiingiza....Nasibu hawezi muhofia "tapeli la kiimani"..hawezi mnyenyekea kama anavyonyenyekewa na "kondoo wake, wenye kumwita bhabha"....
Bifu la pamba moto Diamond amtolea povu Gwajima.Adai adai ni mnafiki na muongo.Je Gwajima akizinyaka hizi itakuwaje?
Pigia mstari .Walianzia kolomije utukutu,wakafeli skonga,wakatoka kimagumashi leo wanaoneana wivu.Inawezekana Makonda amerithi michezo mibaya kwa Gwajima eeeeh.
Sasa diamond Kiki ya nn?Huyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Hivi huyu gwajima hanaga kitukingine cha maana chakufanya zaidi ya kujibizana na watu.
Haya mambo ya kujibizana kilasiku yatamshushia heshima.
UnachekeshaHuyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Pigia mstari .Walianzia kolomije utukutu,wakafeli skonga,wakatoka kimagumashi leo wanaoneana wivu.