Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Mada kama hizi ndio za kuzifuta mtu anajitungia tu habar mnamwangalia
 
Hao wanaongea ni wafuasi tu, yy mwenyewe kakaa kimya kwan anajua litakalomkuta
 
5e7e0e69cb763a1c6936c8700a6253e4.jpg
4c127883b724ee02b49babbe6b968367.jpg

Bifu la pamba moto Diamond amtolea povu Gwajima.Adai adai ni mnafiki na muongo.Je Gwajima akizinyaka hizi itakuwaje?
Hapa "fiksa", kajiingiza....Nasibu hawezi muhofia "tapeli la kiimani"..hawezi mnyenyekea kama anavyonyenyekewa na "kondoo wake, wenye kumwita bhabha"....
 
Hivi huyu gwajima hanaga kitukingine cha maana chakufanya zaidi ya kujibizana na watu.
Haya mambo ya kujibizana kilasiku yatamshushia heshima.

Ndo yanamuongezea waumini na sadaka, saivi wakina Antony Lusekelo wamefunikwa mbali sana na Gwajima.

Kila sekta ina celebrity wake kama alivyo Tundulisu au Albert Msando au Kibatala , au Diamond &Kiba kwenye mziki , Lowasa kwenye siasa, vilevile Gwajima ni mchungaji celebrity
 
Huyu jamaa mambo yake mm cmuelewi mbona anapeda sana bifu na wa2 sasa huo ni uchungaji gani?
 
Mods huu uzi utoeni, hii Account sio ya huyu msanii.
 
Back
Top Bottom