MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Na anaendelea kubadilika pia, hata kwenye interview yake ya ijumaa ndani ya East Africa redio, amekiri kua amegundua mashabiki wanahitaji nini na 'walk it off' ni mwanzo tu, tusubiri kazi nzuri zaidiNi kweli joh Makini amebadilika, ni kweli fid Q anaendelea kukopi vitabu na legends kama KRS
Unataka kusema nini?? nas vs jagga.Huu uzi naona unapozidi kwenda ni Kama kumlinganisha Nas na Jigga
Ni baba zako wadogoUnataka kusema nini?? nas vs jagga.
Ukinambia Joh msanii wa hiphop ndo unaniua kwa kicheko kabisaaa hahahahaaaaa...Hiyo line ipo kwenye nyimbo yake kiazi ww" by the way kuna msanii gani wa Hip Hop anapiga show zaid ya Joh?
Kamskize diamond ww hiphop huna unalolijua weus hakuna hiphop Joh ndo kapotea kabisaaaaaHiyo line ipo kwenye nyimbo yake kiazi ww" by the way kuna msanii gani wa Hip Hop anapiga show zaid ya Joh?
Mwisho leader billicanaz akipiga za fiesta kaua... Msome fid balaa zakeMc pekee nayepiga show frm January to December.
FID show zake anapiga wapi?Mwisho leader billicanaz akipiga za fiesta kaua... Msome fid balaa zake
Balaa za fid zipi? Ndio zile alienda ulaya akapiga video kwenye show room hahaMwisho leader billicanaz akipiga za fiesta kaua... Msome fid balaa zake
Show za bure za mawingu hah hah hah au zingine? Si km shilole, nuhu na linah tu! Hata kwa commercial bado fid mkali!Mc pekee nayepiga show frm January to December.
Ya Joh aliyopigia japo bafuni ulaya ikwapi?Balaa za fid zipi? Ndio zile alienda ulaya akapiga video kwenye show room haha
Task hiyo ifanyie kazFID show zake anapiga wapi?
ndio nyie mtu kwenda ulaya ni mafanikio..waafrika bwanaYa Joh aliyopigia japo bafuni ulaya ikwapi?
Hahahahaaa nimecheka sana kwa hili swaliFID show zake anapiga wapi?
Miaka 5 iliyopita FID Q hajafanya show yeyote nje ya Tanzania,tusaidie alifanya wapi hiyo showTask hiyo ifanyie kaz
ndani ya miaka hiyo Joh alifanya ngapi za nje ya nchi ?????.....Miaka 5 iliyopita FID Q hajafanya show yeyote nje ya Tanzania,tusaidie alifanya wapi hiyo show