Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Ni kweli joh Makini amebadilika, ni kweli fid Q anaendelea kukopi vitabu na legends kama KRS
Na anaendelea kubadilika pia, hata kwenye interview yake ya ijumaa ndani ya East Africa redio, amekiri kua amegundua mashabiki wanahitaji nini na 'walk it off' ni mwanzo tu, tusubiri kazi nzuri zaidi
 
Kuna challenge kubwa sana kwa wasanii wa Hip Hop wa Tanzania,kwa sasa ni kama hakuna anayefanya Hip Hop.Ni ngumu msanii wa Hip Hop unakaa miaka 3-5 hujatoa album au mixtape.Wasanii wa bongo fleva walipogoma kutoa album na hao wanajiita Hip Hop wakasusa wanasingizia kuwa album hailipi.Wasanii wa Kenya kama Rabbit,Octopizo & Khaligraph hawa wanaendelea kutoa album/mixtape while hawa wa kwetu wanatoa single moja kwa mwaka na wanafanya collabo moja ajabu still kuna watu wanapoteza muda kubishana hapa.Kwa mtazamo wangu Wakazi amekuwa msanii wa Hip Hop active kuliko hao wengine
 
bongo hiphop
fid q [√]
songa (+tamaduni muzik) [√]
joh makin (+weusi) [×]
chindo man (+watengwa) [√]

joh alikuwa zamani {hao, muda, niaje nivip ... 2010} , ndo maana hata Bonta sidhani kama ataweza imba na joh kama zaman
 
Mc pekee nayepiga show frm January to December.
Show za bure za mawingu hah hah hah au zingine? Si km shilole, nuhu na linah tu! Hata kwa commercial bado fid mkali!
Propaganda
Husinikubali haraka haraka
Ngosha the swaga don
Hizo ni commercial huyo joh kamshukuru twangala na akina mchovu,Anna pita,Sam misago, mafuvu, ommy DJ,milard ayo, wote wa huko huko milimani vinginevyo angeshapotea
 
huyo joh ana breach lyrics zake alafu akae top,lap top ya livercamp.,mchizi ni fake
na fid ataendelea kuwa juu cz bongo hip hop ndio mke mzuri aliye mchagua na hatoweza kubadilika ili awabambe dukani.,
 
Wakati mnaliendeleza hili nyama la kalio "beef uchwara" pitieni hapa... Fid Q ft Taz - walk it off

"Utasimama ka mnara ukiacha vituko"

Naukubali sana huu mstari. Ili unielewe "thats my favorite punchline"
 
Back
Top Bottom