MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Na anaendelea kubadilika pia, hata kwenye interview yake ya ijumaa ndani ya East Africa redio, amekiri kua amegundua mashabiki wanahitaji nini na 'walk it off' ni mwanzo tu, tusubiri kazi nzuri zaidiNi kweli joh Makini amebadilika, ni kweli fid Q anaendelea kukopi vitabu na legends kama KRS