Hao wote si Wavuta bangi haoo!!?? au ndo misingi yenyeweMkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa
Nsaidie kuwaelekeza hao jamaa ndugu yangu.bro ni kweli joh makini anafanya vizuri commercially kuliko fid q, lakini msanii kama fid q kumpata ni ngumu sanaa..wakina joh they come and go
Kwa mwana hiphop yyte umuwekee nyimbo za Joh na za fid muulize who is the ril hiphopian ndo utajua who is fid in hiphop industry.bro ni kweli joh makini anafanya vizuri commercially kuliko fid q, lakini msanii kama fid q kumpata ni ngumu sanaa..wakina joh they come and go
Alafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.Kwa mwana hiphop yyte umuwekee nyimbo za Joh na za fid muulize who is the ril hiphopian ndo utajua who is fid in hiphop industry.
Kwani wewe babako hajakwambia kua alikutana na mamako kwenye vijiwe vya kuvutia bangi??Hao wote si Wavuta bangi haoo!!?? au ndo misingi yenyewe
Vigezo vinavyotumiwa na wadau wa burudani duniani vitano tu,
1...Endorsements rappers had clinched
2...their impact on youth culture
3...sales
4...lyrical content
5...style as well as branding and business savvy
You already know what it is, Mwamba wa kaskazini oooy... Case closed...!!
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Kutokuwepo kwake kwenye game hakuondoi ubora wa muziki wake mzeeAlafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.
Haiondoi umahiri wa fid haswa kwa uandishi.Alafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.
"hata Patcho pia ni mwamba ila bado anakata mauno"Mwamba WA kaskaziniiiii
Unaweza ku-list hizo album/mixtape na miaka ambayo wame-release hizo album kwa hao wasanii uliowataja?Mkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa
sijui kuhusu beef joh mi nafuga kuku.... said MwambaInasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.
Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.
Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
Aahh kumbe wewe unasikiliza muziki wowote tuu ndo maana upo kitaraab taraab hivi. Sasa hapa sisi tunaongelea hip hop mazee. So kama hujui chochote kuhusu hip hop then shut up yah fukn mouthWhat is HIP HOP weweee....!!!??? Saivi tunasikiliza mziki mzuri.
Mkuu tafta hizi albamUnaweza ku-list hizo album/mixtape na miaka ambayo wame-release hizo album kwa hao wasanii uliowataja?
fak yaaa..... Mwamba atabaki kuwa MWAMBA..Aahh kumbe wewe unasikiliza muziki wowote tuu ndo maana upo kitaraab taraab hivi. Sasa hapa sisi tunaongelea hip hop mazee. So kama hujui chochote kuhusu hip hop then shut up yah fukn mouth
Once u r done with Muda... do urself a favor....go for NIAJE NI VIPI.. .and after that u wipe ur ass with HAWAPENDI... damn yaa... yeeahh and it'll be wiser to showlove to ur loved ones with CHOCHOTE POPOTE.Mkuu tafta hizi albam
Njiani by songa-released this year
Mwenge kiwalani (kandamseto)- p the mc n zaiid hii imetoka mwaka jana mwez wa kumi na mbili
Mount uruguru ya stamina hii imetoka mwaka huu.