Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Mkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa
Hao wote si Wavuta bangi haoo!!?? au ndo misingi yenyewe
 
bro ni kweli joh makini anafanya vizuri commercially kuliko fid q, lakini msanii kama fid q kumpata ni ngumu sanaa..wakina joh they come and go
Kwa mwana hiphop yyte umuwekee nyimbo za Joh na za fid muulize who is the ril hiphopian ndo utajua who is fid in hiphop industry.
 
Kwa mwana hiphop yyte umuwekee nyimbo za Joh na za fid muulize who is the ril hiphopian ndo utajua who is fid in hiphop industry.
Alafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.
 
Vigezo vinavyotumiwa na wadau wa burudani duniani vitano tu,
1...Endorsements rappers had clinched
2...their impact on youth culture
3...sales
4...lyrical content
5...style as well as branding and business savvy

You already know what it is, Mwamba wa kaskazini oooy... Case closed...!!

Mkuu ebu fafanua hivyo vipengele Joh amevifikiaje.

Sioni impact yoyote ya joh kitaani labda huko arusha.

Sijawahi kuona endorsement yoyote kwa joh makini.

Sijaona bidhaa yoyote ata album joh aliyowai kuuza au ni zile tshet anazivaa yeye na washikaji zake kwenye videos .

Lyrics ndio ata sijui nisemeje hahah aya aya mashairi ya don't bother hahahaha eti unaandikiwa na niki

Kuhusu style nakubali joh yupo vizuri sana kuchana kama Jay Z.

Mkuu ebu fafanua ulimaanisha nini au ni mapenzi yako binafsi ukatamani iwe hivyo.
 
Nafikiri mngekua mnajua kitu inaitwa 'kilinge' mngepata majibu yenu apa msingebishana..
Mnaipenda hiphop tatizo hamuijuiwala kuifuatilia
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.

Aisee! Kumbe Fid Q nae ndio walewale noma kweli.
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.

duuh nifah ya kweli hayo?
 
Fid q ni bingwa wa kuunganisha quatations za kwenye vitabu na movie while joh makin anaandika fikra ngumu kwa lugha ya kawaida tu.... achen kumshindanisha mwamba na vitu vya mwanza asee
 
Alafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.
Kutokuwepo kwake kwenye game hakuondoi ubora wa muziki wake mzee
 
Alafu huu ni mtazamo wa mleta mada tu.... Inawezekana kweli fid yupo juu lkn saivi yuko wapi!? Mbona asikiki.... Ndo mana mnabishana sana cse wengi kwasasa wanamsikia mwamba wa kaskazini. ....... Basi fid maliza kujipanga uamke ...... Watu wanataka usasa wako.
Haiondoi umahiri wa fid haswa kwa uandishi.
 
Mkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa
Unaweza ku-list hizo album/mixtape na miaka ambayo wame-release hizo album kwa hao wasanii uliowataja?
 
Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.

Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.

Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
sijui kuhusu beef joh mi nafuga kuku.... said Mwamba
 
What is HIP HOP weweee....!!!??? Saivi tunasikiliza mziki mzuri.
Aahh kumbe wewe unasikiliza muziki wowote tuu ndo maana upo kitaraab taraab hivi. Sasa hapa sisi tunaongelea hip hop mazee. So kama hujui chochote kuhusu hip hop then shut up yah fukn mouth
 
Unaweza ku-list hizo album/mixtape na miaka ambayo wame-release hizo album kwa hao wasanii uliowataja?
Mkuu tafta hizi albam
Njiani by songa-released this year
Mwenge kiwalani (kandamseto)- p the mc n zaiid hii imetoka mwaka jana mwez wa kumi na mbili
Mount uruguru ya stamina hii imetoka mwaka huu.
 
Aahh kumbe wewe unasikiliza muziki wowote tuu ndo maana upo kitaraab taraab hivi. Sasa hapa sisi tunaongelea hip hop mazee. So kama hujui chochote kuhusu hip hop then shut up yah fukn mouth
fak yaaa..... Mwamba atabaki kuwa MWAMBA..
... itafute track yake yaitwa MUDA ....utansomaa.
 
Mkuu tafta hizi albam
Njiani by songa-released this year
Mwenge kiwalani (kandamseto)- p the mc n zaiid hii imetoka mwaka jana mwez wa kumi na mbili
Mount uruguru ya stamina hii imetoka mwaka huu.
Once u r done with Muda... do urself a favor....go for NIAJE NI VIPI.. .and after that u wipe ur ass with HAWAPENDI... damn yaa... yeeahh and it'll be wiser to showlove to ur loved ones with CHOCHOTE POPOTE.
 
Back
Top Bottom