blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Hao wote si Wavuta bangi haoo!!?? au ndo misingi yenyeweMkuu unaongea kwa kujiamini utazani kweli vile eti wasanii wa bongo hawatoi kanda wala kanda mseto??
Acha uongo, embu angalia hawa jamaa uone wametoa kanda ama kanda mseto lini
Nikki mbishi
Nash mc
Zaiid
P the mc
One
Afu ukishajua wametoa lini hizo kanda mseto ndo uje uweke bandiko lako hapa