Kaka/dada nimeuliza tu kwa sababu kweli siwajui hao jamaa.
Ukinijuza kwa usahihi nitawajua nami nitakuwa kurasa moja na ninyi mnao wajua.
Nikukanye kaka/dada, usipende kujaribu kujilinganisha na usiowafahamu!! Tuheshimiane, tusonge mbele babu/bibi.
Nb: samahani nimetumia jinsia zote mbili kwasababu nimeshindwa kukutambua pia. Kwa hiyo unaweza kunielewesha pia. AMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
That is...✊🏿ni challenge.Bifu watu wanaitafsiri tofauti.amani,umoja,upendo na burudani ndiyo misingi ya Hip Hop
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] umemaindi nini haha, pole sana ndugu!Sasa ndo kutumia Kaka/dada au Babu/Bibi men huo mwandiko ni mchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaa wapi mzee kwenye mijadala wengi huwa ni mamen na ukiona Avater picha ya mwanamke ujue huyo Ni kidume anaekojoa kasimama
Pamoja.Aaa wapi mzee kwenye mijadala wengi huwa ni mamen na ukiona Avater picha ya mwanamke ujue huyo Ni kidume anaekojoa kasimama
Kuna kipindi Menejimenti ya Young D ilimfata Young killer ili watengeneze bifu ila Young Killer akagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakali wa dis track bongo wako wawili tu 1.nick mbishi 2.young killer ila naona huyu dogo P the mc nilikuwa nampimia niione consistency yake nimemkubali namuongeza namba 3,tutegemee vita ya tatu ya dunia ya michano!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! kama haujui hao ndiyo wamamemnoa young killer ata yeye anajua katafute Ngoma yake ya mistari 16 kipindi yupo M-labWana ngoma kali labda...
Mi mbona siwajui..
Yani wAnatrend wApi!??
Wekeni basi ngoma zao hapa 1.2.1
Then tujaji.
As of now tuko na killer...
Young
Weka ngoma zao hapa...Duh! kama haujui hao ndiyo wamamemnoa young killer ata yeye anajua katafute Ngoma yake ya mistari 16 kipindi yupo M-lab
Usiwe mvivu kasikilize p the mc ft young killer uone killer alivyopotezwa run DSMWeka ngoma zao hapa...
Aisee...!Sijawahi kusikia dis track kali bongo kama hii. Correct me if I am wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok... Kumbe wana ngoma!?Usiwe mvivu kasikilize p the mc ft young killer uone killer alivyopotezwa run DSM
Sijawahi kusikia dis track kali bongo kama hii. Correct me if I am wrong
Sent using Jamii Forums mobile app