Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Sasa ndo kutumia Kaka/dada au Babu/Bibi men huo mwandiko ni mchizi
Kaka/dada nimeuliza tu kwa sababu kweli siwajui hao jamaa.

Ukinijuza kwa usahihi nitawajua nami nitakuwa kurasa moja na ninyi mnao wajua.

Nikukanye kaka/dada, usipende kujaribu kujilinganisha na usiowafahamu!! Tuheshimiane, tusonge mbele babu/bibi.

Nb: samahani nimetumia jinsia zote mbili kwasababu nimeshindwa kukutambua pia. Kwa hiyo unaweza kunielewesha pia. AMANI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki yupo Instagram huko anarusha vijembe kama Mange Kimambi. P sio mtu mzuri kabisa aisee.
 
Zohan a.k.a Baba Malcom. Drop it like it's hot bro.

Pthe MC jiandae kisaikolojia...

Wadau tuwe na subira. Tupo jikoni. Itajulikana tu nani fundi, nani kibarua.

#Babu Talent#

-Kaveli-
 
Naona P kamchana kwenye page nzima,Nikki naona nae atadondosha full chapter ya michano.


Manake Nikki upande wa kudisi yupo vizuri,sometimes inampotezea hata ile focus ya kufanya mziki mzuri kama zamani.
 
Binafsi mi naona bifu la kutengeneza Yani eti menejimenti inakuja na kuzungumza juu ya kuanzisha bifu, hiyo hainogi hata chembe ikizingatia kuwa Kuna baadhi ya Siri za mwenzako hutoziweka bayana ama Siri zako pia hatoziweka wazi hii itafanya bifu lipoe kimtindo na lisiwe na side effects.

Bifu bifu kweli ni mpaka mzinguane kikwelikweli Sasa hapo ndo tutaona Moshi kwenye MIC ukifuka Kama si maneno kuntu na rymes za kufa mtu kama za P Mawenge kwa Nick Mbishi Basi Siri zoote na mambo ya ajabuajabu lazima yawekwe bayana kibabe na kindavindavi daadeki.
Kuna kipindi Menejimenti ya Young D ilimfata Young killer ili watengeneze bifu ila Young Killer akagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana ngoma kali labda...

Mi mbona siwajui..

Yani wAnatrend wApi!??

Wekeni basi ngoma zao hapa 1.2.1

Then tujaji.

As of now tuko na killer...
Young
 
Nimesoma kwenye page yake Nikki anapost screenshots za convo huko kwenye group la wasanii huu ni usnitch kwa kiwango Cha lami

Hata Kama unaona wanamsema kwanini alete in public

Nikki hajielewi ndio maana wenzie wanamnanga

Mjinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana ngoma kali labda...

Mi mbona siwajui..

Yani wAnatrend wApi!??

Wekeni basi ngoma zao hapa 1.2.1

Then tujaji.

As of now tuko na killer...
Young
Duh! kama haujui hao ndiyo wamamemnoa young killer ata yeye anajua katafute Ngoma yake ya mistari 16 kipindi yupo M-lab
 
Back
Top Bottom