Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Kwani wewe ni msanii? Nazungumzia wasanii....wewe hata usipojua chochote nani anajali mkuu....hiyo itakuwa ni juu yako mwenyewe......
Hivi unajiita msanii na hufuatilii trending issues kwenye industry.
Hoja ya ajabu kabisa.Eti kwavile ni msanii anatakiwa ajue kila msanii mwenzie katoa wimbo gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya ajabu au wewe ndo uelewa mdogo?
Hivi utakuwa unajiita msanii na huangalii trending issues kwenye jamii huo mziki wako unamfanyia nani sasa.
Tafadhali mkuu usiniquote tena sioni kama una hoja.
Nikki akae aanze kufuatilia dodo!? Jamii yenyewe hatuzielewi hizo ngoma zenu. Wee masozy vipi!?

Nakuquote tena sababu wewe ndo unaleta chuki binafsi zidi yake na sio kujenga hoja.
Kisa ni msanii ndo afwatilie kila wimbo wa msanii sijui huu unaitwa dodo,huu amina,huu nanasi!
Ushabiki mwingine na chuki nyingine za kushangaza sana eti mtu na akili zake anataka msanii flani ajibu anavyotaka yeye na ajue kila msanii/wimbo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki akae aanze kufuatilia dodo!? Jamii yenyewe hatuzielewi hizo ngoma zenu. Wee masozy vipi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka brain....unadhani huwa hawafuatilii bongo fleva inavyoenda yale wanayoyaimba kwenye nyimbo zao wakiwananga wabongo fleva huwa yanatoka wapi?
Sikuwa na maana afuatilee acheze hapana.
Ila ukiwa msanii lazima utapita Kwenye mitandao kujua kinachotrend kwa wakati huo.
Mashairi mengi ya wana hiphop....ni kuimba kile kilichopo kwenye jamii na Kwa sasa Tanzania Trending issues zote zinapatikana mitandaoni.
 
Nakuquote tena sababu wewe ndo unaleta chuki binafsi zidi yake na sio kujenga hoja.
Kisa ni msanii ndo afwatilie kila wimbo wa msanii sijui huu unaitwa dodo,huu amina,huu nanasi!
Ushabiki mwingine na chuki nyingine za kushangaza sana eti mtu na akili zake anataka msanii flani ajibu anavyotaka yeye na ajue kila msanii/wimbo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni shabiki wa hihop nimchukie Nick nipate nini?
Hakuna ntakachopata kumchukia mtu asiye nijua,
Umeona interview yenyewe kaka? Namna anavyojibu kwa kujikweza na kiburi....
Sio lazima kuijua Nyimbo fulani, ila kuna namna ya kujibu.
 
Kaka brain....unadhani huwa hawafuatilii bongo fleva inavyoenda yale wanayoyaimba kwenye nyimbo zao wakiwananga wabongo fleva huwa yanatoka wapi?
Sikuwa na maana afuatilee acheze hapana.
Ila ukiwa msanii lazima utapita Kwenye mitandao kujua kinachotrend kwa wakati huo.
Mashairi mengi ya wana hiphop....ni kuimba kile kilichopo kwenye jamii na Kwa sasa Tanzania Trending issues zote zinapatikana mitandaoni.
Sawaa kamanda! Nipo sawa na Nikki, sijawahi usikia kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
Yupo kitambo sana P, na yuko vizuri sana, wanaofuatilia Hip Hop ya Bongo wachache ambao hawamjui jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki kutokujibu hiyo diss track amecheza kama Pelle, kagoma kumpa promo dogo wa kiwira ona sasa game inavyomuendea poa Nikki..ndani ya hii wiki tu kasifiwa na Fid Q, Joh Makini na G Nako kama mwana Hiphop bora! Hizo Six Feet mwamba alijifukia mwenyewe?
 
Hii bifu naona Nikki hakutaka kuiendeleza
 
Back
Top Bottom