Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Labda mnafahamiana mtaani ndo maana mnamjua ,lakini kina one incredible ,Zaidiii ,adili mbona wanajulikana zaidi kama yeye anajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama unamjua zaid kvp umjui pthe... ebu kuwa serious mzee kiaje umjue roma usimjue staminaLabda mnafahamiana mtaani ndo maana mnamjua ,lakini kina one incredible ,Zaidiii ,adili mbona wanajulikana zaidi kama yeye anajua
"Kelele za Mshabiki" ni wimbo wa mwaka juzi huko aiseeJamaa kaweka mpira kwapani katoa ngoma inaitwa "kelele za mashabiki" badala ya kutoa reply ya "futi 6"
Nikki kazikwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya ajabu kabisa.Eti kwavile ni msanii anatakiwa ajue kila msanii mwenzie katoa wimbo gani!Kwani wewe ni msanii? Nazungumzia wasanii....wewe hata usipojua chochote nani anajali mkuu....hiyo itakuwa ni juu yako mwenyewe......
Hivi unajiita msanii na hufuatilii trending issues kwenye industry.
Hoja ya ajabu au wewe ndo uelewa mdogo?Hoja ya ajabu kabisa.Eti kwavile ni msanii anatakiwa ajue kila msanii mwenzie katoa wimbo gani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikki akae aanze kufuatilia dodo!? Jamii yenyewe hatuzielewi hizo ngoma zenu. Wee masozy vipi!?Hoja ya ajabu au wewe ndo uelewa mdogo?
Hivi utakuwa unajiita msanii na huangalii trending issues kwenye jamii huo mziki wako unamfanyia nani sasa.
Tafadhali mkuu usiniquote tena sioni kama una hoja.
Nakuquote tena sababu wewe ndo unaleta chuki binafsi zidi yake na sio kujenga hoja.Hoja ya ajabu au wewe ndo uelewa mdogo?
Hivi utakuwa unajiita msanii na huangalii trending issues kwenye jamii huo mziki wako unamfanyia nani sasa.
Tafadhali mkuu usiniquote tena sioni kama una hoja.
Kaka brain....unadhani huwa hawafuatilii bongo fleva inavyoenda yale wanayoyaimba kwenye nyimbo zao wakiwananga wabongo fleva huwa yanatoka wapi?Nikki akae aanze kufuatilia dodo!? Jamii yenyewe hatuzielewi hizo ngoma zenu. Wee masozy vipi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni shabiki wa hihop nimchukie Nick nipate nini?Nakuquote tena sababu wewe ndo unaleta chuki binafsi zidi yake na sio kujenga hoja.
Kisa ni msanii ndo afwatilie kila wimbo wa msanii sijui huu unaitwa dodo,huu amina,huu nanasi!
Ushabiki mwingine na chuki nyingine za kushangaza sana eti mtu na akili zake anataka msanii flani ajibu anavyotaka yeye na ajue kila msanii/wimbo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaa kamanda! Nipo sawa na Nikki, sijawahi usikia kabisa.Kaka brain....unadhani huwa hawafuatilii bongo fleva inavyoenda yale wanayoyaimba kwenye nyimbo zao wakiwananga wabongo fleva huwa yanatoka wapi?
Sikuwa na maana afuatilee acheze hapana.
Ila ukiwa msanii lazima utapita Kwenye mitandao kujua kinachotrend kwa wakati huo.
Mashairi mengi ya wana hiphop....ni kuimba kile kilichopo kwenye jamii na Kwa sasa Tanzania Trending issues zote zinapatikana mitandaoni.
Yupo kitambo sana P, na yuko vizuri sana, wanaofuatilia Hip Hop ya Bongo wachache ambao hawamjui jamaaKaribia mwaka wa 6 namfahamu nicki,p the mc amesikika tu kwa ajili ya huu wimbo wake ,na bila kumdiss nicki asingesikika ,watu wanaotoa hit ndo wanasikika huyu p the mc wengi ndo wanamjua kwa diss lake la kizushi,bila kumdiss nicki asingesikika
unajua rapBEST DISS TRACK EVER IS WHERE MY CROWN AT