Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Wiki hii Emma ametukama watazamaji baada ya kufanikiwa kumuingiza Jerremy kwenye kumi na nane zake na pia kumfanya Harrington adhani kuna kauwezekano akaitia timu. Shida yake anaongea sana mimi naona. Nimeshangaa watu wansema hawamsikii Elizabeth eti anaongea haraka, hivi ni kweli hili??
 
Jenifer kapatwa na nini?

Kuna mambo mawili,
1. wengine wanasema ana Mimba yaani mjamwepesi
2. wengine wanasema amemsema dingi vibaya usiku wa leo na kumfanya dingi yake akasirike na kuamuru arudishwe nyumbani haraka

Kuondoka kwake ni nafuu kwa Elizabeth kwa vigezo vya Uzuri
 

Attachments

  • normal_big_brother_africa_4_15_20090920_1648003881.jpg
    normal_big_brother_africa_4_15_20090920_1648003881.jpg
    13.8 KB · Views: 54
Jenifer kapatwa na nini?

Mkuu Jenipher ni mtoto wa mwanasheria maarufu wa Msumbiji bwana Inácio Sebastião Mussanhane, Siku za karibuni amepewa nishani kutoka Marekani kwa kupigania haki za binadamu.

Huyu mzee Baba yake na Jeni inasemekena wakati anasoma SA aliwahi kusikia kuwa kuna jamaa anawachukua wadada wa msumbiji alafu anawaweka kwenye danguro,(anawafanyia biashra ya ukahaba, anauwauza). akaenda huko akijifanya mteja na baadaye kuwambia wale akina dada yeye sio mteja lakini angependa kuwasaidia watoke.

Akina dada hao walimshirikisha mzee issue zote na baadaye kamfuata huyo jamaa mwenye Danguro na kumtaka awaachie hao akina dada lakini huyo jamaa kataka kumuhonga kiasi kikubwa cha pesa, baba yake Jeni alikataa.

Baadaye jamaa wakamtishia kumuua, lakini akawatafuta Polisi wa SA, ubalozi wa msumbiji na wa Marekani wakasaidia kuwaokoa wanawake kadhaa.

Sasa inasemekana anaheshima kubwa sana huko kwao (Msmbiji na kimataifa) na anataka kuilinda hii heshima kwa gharama yoyote. Inaonekana wakati binti yake anaenda huko BB, mzee hakujua (au hakuwepo). Sasa mtoto anabwabwaja mno habari za familia ndani ya nyumba ya BB, na dingi ameshaona uwezekano wa binti kumegwa nao upo akiangalia heshima yake kwa jamii ameona khaaa bora lawama.

Nasikia amewataka wamtoe mtoto mara moja lasivyo atachukua hatua kali, baya zaidi ametishia kumwacha mke wake (mama yake Jen) kwa kosa la kumruhusu mtoto aende BBA.

Khaa mimi nimeishiwa maneno, lakini mtoto anatia huruma sana ukimsikiliza jinsi anavyowaaga wenzie. Anyaw wanazo tayari acha watu kama akina Elizabeth ambao hawakuweza kusoma hata Ngumbaro kwa kukosa ada wapate huto tuvijisenti tuwasaidie.
 

Attachments

  • 061609_TIPS09Mussanhane-of-Mozambique_200.jpg
    061609_TIPS09Mussanhane-of-Mozambique_200.jpg
    4.5 KB · Views: 41
Lakini wakuu munamuangalia Elizabeth anapokuwa Diary room nadhani katika wawakilishi wote tumewahi peleka mtoto kichwa ipo, anasikiliza maswali kwa utulivu, anajibu kwa kifupi kama lawyers, straight to the point. Shida hajachangamka akiwa na wenzake.
 
Yaaa mpaka sasa yupo juu, nadhani anaweza kuingia kwenye fainal na Kelvin, Emma, Hannigton, labda na Jenipher.

Huyo jamaa na bangi zake amechemsha, nina uhakika come Monday, he will be nominated na majority of housemates; wanaume wasiovuta sigara na mademu wote lazima wam-nominate and he will be up for eviction na nika hakika watazamaji lazima watamchomoa tu. Ujinga alionyesha wakati wa mchezo hauwezi kuvumiliwa hata kidogo, watu wa namna anaweza kukutwanga na kitu chochote alichonacho karibu. Halafu HoH tayari ameishatangaza kwamba hata asipokuwa nominated, yeye lazima atam-swap na mtu yeyote na yeye mwenyewe anajua.

Last yr UTI kutoka Nigeria alipovunja vunja vitu siku ya eviction ya Lucie, ilim-cost sana, maana wiki iliyofuata alikuwa nominated na watazamaji wakampa boot.
 
Tutamwona zaidi wiki ijayo atakapokuwa HoH. Mtoto anamazoezi na stamina ya kutosha yaani kuwashinda wadada wote na wakaka wote ktk lile zoezi la viungo na balance.

Jen duh! amefanana sana na baba yake. wacha arudi Mozambique, atatoka Jpili pamoja na twin mmoja.
 
Umemuona Leonel jana anamtokea Gerardine ,akashikwa na kigugumuzi
 
Kubaki kwa mapacha ndani ya Jumba itakuwa ni msg clear kwa Paloma ambaye amekuwa akiwasema kwamba wao saa zote wanaongea habari ya sex tu. Lakini ukichunguza wengi humo ndani wanaongelea sex japo wanaongelea kwa kificho. Phil amewahi kumsimulia Rene kwamba alitiwa dole akapa big O ambayo hajawahi kuipata tangu azaliwe, sasa huyo unamuweka kwenye kundi gani.

Tatizo ni kwamba washiriki hawajui viewers wanataka kuona na kusikia nini. Paloma anasema watu wasiongelee sex, kwani yeye ndiyo anawakilisha mawazo ya viewers wote? Angesema kwamba yeye personally hapendi kusikia habari hizo.
 
Kwa majungu yanayoendelea ndani ya Jumba naona game sasa imeanza.

Kwanza Elizabeth alishaahidi kum-swap Hannington na mtu yeyote atakayekuwa nominated iwapo Hannington hatakuwa nominated.

Girls Power Alliance wanataka kuwashawishi vijana wasiovuta wawa-nominate twin mmoja na Rene, lakini bado hawajaja na jina twin na inawezekana wakajichanganya wakakuta wanagawa kura za twins kwa watu 2 toauti. Then, Elizabeth atashawishiwa kum-swap twin wa pili ili wote wawe up for eviction, na kwa njia hiyo lazima mmoja ataondoka.

Lakini je Elizabeth atakubaliana nao? Maana Elizabeth nahisi bado ana kinyongo/hasira na Hannington. Pia Alliance ya wasichana hawajijui, nina hakika kila mmoja ana mtu wake moyoni mwake na sina hakika kama anaweza kukubaliana na hizo alliance za kichawi ambazo unaweza kuambiwa mtoe baba/mama/mtoto wake, ndiyo walitaka kumfanya hivyo Elizabeth kwamba am-swap Yacob ambaye yuko so close na Elizabeth na kila siku anasema akimuona Yacob ni kama amemuona marehemu baba yake.

Hivi Emma akiambiwa sasa ni zamu ya kum-nominate Jeremy atakubaliana na alliance? Ndio maana nasema hii ni alliance ya kichawi. Ngoja tusubiri kesho asubuhi tuone nominations zitakavyokwenda pamoja na maamuzi ya Elizabeth atakayoyafanya jioni.

Game limeanza kukolea, sasa lazima tutaona traitors na wale wenye misimamo.
 
Mbogela tunasubiri update
Mkuu nilitulia kidogo maana niliona kama naongea pekee yangu ikaboa kidogo, asante kwa kupita hapa. Lakini tutaendelea mpaka kieleweke.
 
Kwa majungu yanayoendelea ndani ya Jumba naona game sasa imeanza.

Kwanza Elizabeth alishaahidi kum-swap Hannington na mtu yeyote atakayekuwa nominated iwapo Hannington hatakuwa nominated.

Then, Elizabeth atashawishiwa kum-swap twin wa pili ili wote wawe up for eviction, na kwa njia hiyo lazima mmoja ataondoka.

Lakini je Elizabeth atakubaliana nao? Maana Elizabeth nahisi bado ana kinyongo/hasira na Hannington.
Ngoja tusubiri kesho asubuhi tuone nominations zitakavyokwenda pamoja na maamuzi ya Elizabeth atakayoyafanya jioni.

Game limeanza kukolea, sasa lazima tutaona traitors na wale wenye misimamo.

Lakini kama Elizabeth angekuwa anaweza kusoma alama za nyakati ningemshauri asim-swap Hannington, kwani Smellington tayari ameshaboa na siku yoyote takayokuwa nominated atatolewa mara moja, sasa Elizabeth angetake hiyo advantage, sasa hivi anakura moja extra tayari ya wakenya kwa kukosa mtu ndani ya nyumba, angeitafuta kura ya waganda ambao kama Hangton atatoka wataelekeza kura zao kwa Elizabeth, akichemsha akamswap Hanington naona atakuwa amepoteza kura yake moja ya uhakika.
 
Lakini ukichunguza wengi humo ndani wanaongelea sex japo wanaongelea kwa kificho.
Tatizo ni kwamba washiriki hawajui viewers wanataka kuona na kusikia nini. Paloma anasema watu wasiongelee sex, kwani yeye ndiyo anawakilisha mawazo ya viewers wote? Angesema kwamba yeye personally hapendi kusikia habari hizo.

Paloma nahisi bado ana mtazamo wa Cherrish (mshindi BBA I) ambaye anatoka Kitwe kama yeye (labda alimshauri). Cherrish toka aingie alishika sana dini, alafu makanisa ya Zambia yalipiga vita sana BBA, sasa kwa vile anajua hili anajaribu kufuta hayo anasahau kuwa kuwa mashindi wa huu mchezo hautegemei nchi yako tu, unategemea afrika nzima.

Na kwa mtazamo wangu Paloma yupo hatarini wakati wowote akiwa naominated na stong candidate kidogo atakuwa nje. Nadhani hata Elizabeth anakwepa kuwa replicate wa Latoya, anajaribu sana kujitofautisha naye. shida ni kuwa ukishingia huko ndani huwezi jua hata hisi nje kuna manyunyu au Jua ha ha ha Patamu sana
 
Lakini kama Elizabeth angekuwa anaweza kusoma alama za nyakati ningemshauri asim-swap Hannington, kwani Smellington tayari ameshaboa na siku yoyote takayokuwa nominated atatolewa mara moja, sasa Elizabeth angetake hiyo advantage, sasa hivi anakura moja extra tayari ya wakenya kwa kukosa mtu ndani ya nyumba, angeitafuta kura ya waganda ambao kama Hangton atatoka wataelekeza kura zao kwa Elizabeth, akichemsha akamswap Hanington naona atakuwa amepoteza kura yake moja ya uhakika.

Mkuu shukrani kwa updates, sisi wengine huku kijijini hatuoni BBA lakini huwa tunasoma soma hapa JF na tukiwa vijiweni huwa tunasimulia kama tunaona. Thank you!
 
Mkuu shukrani kwa updates, sisi wengine huku kijijini hatuoni BBA lakini huwa tunasoma soma hapa JF na tukiwa vijiweni huwa tunasimulia kama tunaona. Thank you!

ha ha ha JF bwana ina mambo!! mimi huwa nasimulia vikao vya CHADEMA, CCM, Ma-issue ya EPA, Richmond MEREMETA kama nilikuwepo mezani. Mkuu nakubaliana na wewe hapa ni kiboko. Hakika elimu niliyoipata hapa hasa kuhusiana na mwenendo wa mabo nchini mwamngu siwezi kulinganisha na darasa lolote lingine niliwahi kusoma
 
Back
Top Bottom