Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Updates za Leo asubuhi
The only advantage she has, ni kwamba anapambana na 3 Namibians kwa hiyo wapiga kura hawajui wampe nani kura kati ya hao 3, na pia uwepo wa mapacha una-complicate zoezi lote na watu wanachanganyikiwa wampe pacha yupi kura zao.
?

Asante sana Mkuu wangu, leo nilikuwa sijapita huko. Ningeombwa kutoa ushauri wa wapiga kura ningewaambia wapige kura kwa Edward, kwasababu kama Edward anapata Kura na Erastus anapoteza, Edward anwaweza kubaki pekee yake ndani ya Jumba. Kwa hiyo Namibia wampoteze Rene na Erastus wawekeze kwa Edward kwa hiyo Paloma ataondoka na Wanamibia wawili. Paloma amepanik, sasa hivi hana strategy tena, kwenye Mpira huwa tunaita butua butua Bora liendee ndio hatua aliyofikia Paloma sasa hivi.
 
Binafsi nataka abaki Rene and i'm voting for Rene to stay not b'se is good but has no harmful effects to Elizabeth if you compare with the rest three.
 
Jana nimeongea na Mtswana mmoja ananiambia kuwa wiki za mwanzo walimchukia sana Elizabeth kwsababu alimnominate Kaone, lakini toka juzi walipoanza kuwa pamoja anasema watu wameanza kuonyesha support yao kwa hao wawili.

Paloma amechemsha sana kuanza kutaja jina mtu wa kumnominate wiki hii wakati yupo kwenye nominationa list for possible eviction, kwasababu anaongeza maadui nje badala ya kuongeza marafiki. Yaani sasa hivi tayari amepoteza kura moja kwa hakika kwa kumtaja Kelvin
 
Binafsi nataka abaki Rene and i'm voting for Rene to stay not b'se is good but has no harmful effects to Elizabeth if you compare with the rest three.
Nadhani nayo ni option nzuri, lakini hapo Wanamibia wanaweza kupoteza wote watatu kwa wakati mmoja, kwani Rene hawezi kupata kura nyingi kwa nchi zingine, kwani sio entertainer sana. Na wiki hii issue imalala namna ya kumtosa au kumwokoa Paloma, kwa hiyo kama kura zinaelekezwa kwa Edward nafasi ya kumtosa Paloma Naona ni Kubwa kwani uwezekano wa kutokugawanya kura ni mkubwa.
 
Paloma amepanik, sasa hivi hana strategy tena, kwenye Mpira huwa tunaita butua butua Bora liendee ndio hatua aliyofikia Paloma sasa hivi.

Ni kweli Paloma ame-panic na sasa sijui kama kuna mtu anamwamini humo ndani. Kila akipiga hesabu kwamba ilikuwaje yeye na Liz wakawa nominated anashindwa kupata jibu.

Sasa ameanza kumtuhumu Kevin na wenzake kwamba huenda waliwauza na kwamba wameanza ku-form alliance mpya. Elizabeth nae ameuingia mkenge kichwa kichwa bila kujua, anahisi Kevin na K1 wameanza alliance mpya. Elizabeth akianza kuropoka ovyo atajikuta anajijengea maadui kila kona na siku akiwekwa kwenye chopping board wanaweza kumgombea kama mpira wa kona. Ndio maana mimi ninaombea sana Paloma atoke, akiendelea kuwa humo ndani ataleta madhara makubwa sana kwa Elizabeth.
 
Binafsi nataka abaki Rene and i'm voting for Rene to stay not b'se is good but has no harmful effects to Elizabeth if you compare with the rest three.

Ni kweli kabisa ... na sidhani kama Rene huwa hata anafikiria kum-nominate Elizabeth. Yeye yuko consistent na wabaya wake, mpaka watakapotoka ndipo atakapoanza kufikiria wengine. Kwa hiyo ushauri wako ni wa maana sana na unamuweka Elizabeth kwenye position nzuri ya kupunguza maadui mbele ya safari.
 
Jana nimeongea na Mtswana mmoja ananiambia kuwa wiki za mwanzo walimchukia sana Elizabeth kwsababu alimnominate Kaone, lakini toka juzi walipoanza kuwa pamoja anasema watu wameanza kuonyesha support yao kwa hao wawili.

Paloma amechemsha sana kuanza kutaja jina mtu wa kumnominate wiki hii wakati yupo kwenye nominationa list for possible eviction, kwasababu anaongeza maadui nje badala ya kuongeza marafiki. Yaani sasa hivi tayari amepoteza kura moja kwa hakika kwa kumtaja Kelvin

Mambo yanabadilika kila dakika mazee. Elizabeth ameishauvaa mkenge wa Paloma kwamba K1 ni snake na kwamba si ajabu hata alivyokuwa anajisogeza kwa Elizabeth alikuwa na agenda yake ya siri. Elizabeth ameibeba hiyo idea kama ilivyo na akaenda kuiropoka diary room kwa BB. Hili lazima litawakwaza watswana kwa mara nyingine. Ndiyo maana mimi bado ninalia na Paloma, sumu yake ni mbaya sana.

Tatizo la Paloma anataka adui yake awe pia adui wa members wote wa alliance yake. Kama yeye hawezi kuongea na akina Yacob, Hannington na Itai, sioni sababu ya kuwa-suspect members wa alliance yake wakionekana wanaongea na hiyo kambi nyingine. Inawezekana ikawa ni advantage ama disadvantage ikitegemeana na loyalty + trust ya huyo member.
 
Mambo yanabadilika kila dakika mazee. Elizabeth ameishauvaa mkenge wa Paloma kwamba K1 ni snake na kwamba si ajabu hata alivyokuwa anajisogeza kwa Elizabeth alikuwa na agenda yake ya siri. Elizabeth ameibeba hiyo idea kama ilivyo na akaenda kuiropoka diary room kwa BB. Hili lazima litawakwaza watswana kwa mara nyingine. Ndiyo maana mimi bado ninalia na Paloma, sumu yake ni mbaya sana.

.

Duuu mkuu nilikuwa sijaiiona hiyo, hapo kachemsha ndio maana nimuhimu kumuondoa Paloma haraka iwezekanavyo kumfanya mshiriki wetu safe lasivyo atakwenda na maji.
 
News: Alliances and Solo Soldiers

icon_date.gif
01/10/2009
icon_comm.gif
118 comments

The Revolution has brought with it alliances and conspiracies. These have been going on since the Housemates moved into the House, when the Smokers' Alliance was established. Once the girls moved into the House, the boys knew that their presence would change the game.

The Girl Power Alliance decided to team up with Kevin, Kaone, Quinn, Itai and Jeremy to create a stronger opposing alliance to the Smokers' Alliance. At some point, Itai is confronted by Paloma for divulging the Girl Power Alliance game plan to Yacob. Itai has tried to mend fences, but he now thinks that there is no way he can trust an alliance with the girls, and thus decides to be loyal to the Smokers' Alliance. At this point, the girls have no idea who to trust, and it seems as if alliances are falling apart.

Hannington has told Big Brother that the scheming in the House has brought out a dishonest side to him, which he doesn't like- and has thus declared that he is over alliances, while Kristal recently told Koane and Kevin that with everything that's been going on, she is now flying solo as she trusts no one.

Watch the latest developments on conspiracies here.
 
Mkuu wangu Mbogela,

Nilisema wiki hii tutaona alliances zikienda na maji na ninaona kila mtu hamwamini mwenzake. Kama Paloma na Liz wasingekuwa nominated, basi trust ingeendelea kuwepo. Tatizo vinara wa Girl Power walipokuwa nominated wakajua lazima kuna nyoka kwenye alliance yao, maana kila wakipiga hesabu za kura zinagoma.

Non-smokers alliance walikuwa wanamlaumu Itai kwamba kura yake ya nomination ilikuwa na madhara kwa Paloma na Liz na ndiyo maana wamekuwa nominated. Lakini ni nani yuko tayari kusikia kwamba alliance hii wanataka kuku-nominate na yeye akakaa kimya bila ku-retaliate? Tit for tat ndio mwendo wa game.

So far kuna Players kama 6 hivi ambao wameishasema ama hawataki tena alliance ama wako kwenye alliance lakini hawaziamini tena. Players hao ni pamoja na Kevin, Liz, Elizabeth, K1, Itai, Kristal na Hannington. Msingi wa any alliance ni trust; if there is NO TRUST then NO ALLIANCE.

Kiama kitakuwa siku ya Jumapili. Kama Paloma ataondoka, basi jumba zima na hasa kwa upande wa akina dada wataishiwa nguvu kwa kuwa wana amini kwamba Paloma is the strongest player kwa hiyo hawezi kutoka, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa Girl Power. Nina hakika members wa Girl Power watakaobaki watajipachika ama kwa wavuta sigara ama kwa non-smokers kwa kuwa wao wenyewe kwanza hawaaminiani.

Kama Namibians wote 3 wataondoka, next victims watakuwa Yacob na Itai na baadaye watafuata Mzamo na Hannington na huo ndio utakuwa mwisho wa smokers alliance.

Kama Paloma atatoka na Ed akabaki, angalau Ed anaweza kuwaongezea nguvu smokers na hivyo wakajikongoja na kufika mbali iwapo tu Girl Power itasambaratika ama ikiendelea kukosa imani na non-smokers alliance.

Sijajua kwanini Paloma ameanza kumganda Yacob na pia Liz ameanza kumganda Hannington. Hiyo nayo ni dalili mbaya, may be kuna kitu wanakitaka kutoka kwa hao jamaa 2, ama inaweza kuwa wanataka kuwavuta ili waungane na kummaliza Kevin na K1, maana sijasikia msichana yeyote akiwasema Quinn au Jeremy kwa ubaya, wanaosemwa ni K1 na Kevin kutoka kwenye hilo kundi la non-smokers.

Inawezekana Quinn haguswi kwa anatoka nchi moja na Liz ambaye ni kinara wa Girl Power na pia Jeremy haguswi kwa kuwa bado hawana imani sana kama JEMMA imekufa kikweli ama ni usanii tu. Kama Paloma atatoka nina hakika JEMMA inaweza kuibuka upya kwa kasi ya kuua mtu, kwa sasa Emma ana negative influence ya Paloma na ndio maana ame back off.

Paloma jana alikuwa anawahoji JEMMA kuhusu future, nadhani alikuwa anataka kupata uhakika kama Emma anaweza kuwa tayari kumchinjilia mbali Jeremy. Na wao kwa ujinga wanajibu na kujieleza utadhani wako kwa Discipline Mistress. Pia alimhoji Geraldine kuhusu K1 na Lionel. Kwanini mtu atake kujua undani wa mahusiano ya watu? Bahati nzuri Paloma amekutana na watu wastaarab sana na wanamjibu sincerely utadhani ni mzazi wao.

Any player anapotoa details kama hizo ni sawa na kuji-expose na hivyo anakuwa more vulnerable. Maana tayari Paloma ana inside info ya mahusiano yao, kama alikuwa na sumu ya kumwaga kwa Jeremy ama Emma anaweza kuimwaga at any time na isiwe na madhara kwa Paloma. Kama wasingeji-expose atachukua muda mrefu kuchunguza na kupata uhakika na anaweza kufanya decision at a wrong time ana akawa na incomplete info na hivyo outcome ya decision yake ikawa na madhara kwake kama ilivyokuwa kwenye nominations za Jumatatu iliyopita.

Kilichofanya Paloma na Liz wawe nominated last time ni vitu kama hivi, walianza ku-discuss nominations tangu Jumanne na wakawa wanawa-target Mzamo na Itai, walipopata info nyingine wakabailisha mawazo na tayari majadiliano ya nominations yalishaanza ku-leak matokeo yake unajiongezea maadui wa ndani unnecessarily. Halafu anashangaa kwanini amekuwa nominated!
 
Mkuu wangu tupo pamoja nashukuru kwa up date, Paloma nilishamwona hana akili toka siku ile aliposema maji maji ya wanaume ni hatari sana yanasababisha ugonjwa ini ambao sijui alisema aunt yake alikufa nao, nikajua huyu dada kichwa haijatulia. Na bahati mbaya wa ndani hamwoni, lakini naamini Elizabeth katambua lakini anashindwa kumumwaga anaogopa kuwa atammaliza. lakini mimi bado naamini mwisho wake J2, HoH mpya anapatikana kesho sio?
 
Mimi bado naamini mwisho wake J2, HoH mpya anapatikana kesho sio?

Tuombee na iwe hivyo, maana asipotoka Elizabeth atazidi kuchemsha na siyo rahisi kugundua kwamba anachemsha.

Kesho ndiyo siku ya shindano la kumpata HoH, ngoja tuone itakuwaje.
 
Mkuu Mbogela,

Naomba tuwekee ushahidi wa clip hapa, hatimaye African Woman aliyesema lips zake hazitaguswa na mwanaume yeyote, leo zimeguswa na Kevin kwenye game.
 
Mkuu Mbogela,

Naomba tuwekee ushahidi wa clip hapa, hatimaye African Woman aliyesema lips zake hazitaguswa na mwanaume yeyote, leo zimeguswa na Kevin kwenye game.
Ngoja niitafute
 
Mkuu Mbogela,
Naomba tuwekee ushahidi wa clip hapa, hatimaye African Woman aliyesema lips zake hazitaguswa na mwanaume yeyote, leo zimeguswa na Kevin kwenye game.

http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=19042
PALOMA hana msimamo, nadhani waliokuwa wanampa maujiko nje ya kuwa ni mama halisi wa kiafrica kama wameona hii ni noma, maana amemkatia Kelvin kiuno alfu kasimama kamkiss toungue kiss seriuos mpaka Kristal ameona aibu amejificha. Elizabeth naye mchokozi anamwambia Kelvin afunue blanket alilofunika kiunoni waone reaction, alafu Kwanini Liz yupo kimbele mbele kwenye hili? hawa wasichana wameamua kumtosa mama yao PAloma kwa makusudi kabisa naamini.
 
Hawa vijana kumbe wanakula maraha hivi! Wanaweza wakapata kweli chance ya kuosha nyota au hadi watoke ndani ya jumba?
 
PALOMA hana msimamo, nadhani waliokuwa wanampa maujiko nje ya kuwa ni mama halisi wa kiafrica kama wameona hii ni noma, maana amemkatia Kelvin kiuno alfu kasimama kamkiss toungue kiss seriuos mpaka Kristal ameona aibu amejificha. Elizabeth naye mchokozi anamwambia Kelvin afunue blanket alilofunika kiunoni waone reaction, alafu Kwanini Liz yupo kimbele mbele kwenye hili? hawa wasichana wameamua kumtosa mama yao PAloma kwa makusudi kabisa naamini.

Mkuu wangu hapo kwenye bold uko sahihi kabisa. Liz amekuwa akitamani sana kampani za wanaume, lakini kikwazo ni Paloma ambaye amekuwa mstari wa mbele kuzuwia wasichana wasijiingize kwenye mahusiano na wala wasikubali touch touch na tongue kisses ndani ya jumba.

Alichofanya Liz ilikuwa ni kumjaribu Paloma kama kweli ana msimamo au la, na Liz anafahamu fika kwamba Paloma anamzimikia Kevin ila huwa hataki kuonyesha waziwazi na alishasema. Kwa hiyo watoto waliamua kumjaribu mama yao waone kama atakubali au atakataa?

Baada ya Paloma kukubali ku-kiss naona sasa pazia limefunguliwa. Kristal alimpa ka-kiss ka-ghafla kijana Ed. Mzamo na Quinn wao wali-kiss kwa muda mrefu na huku wakitaka waende kwenye bwawa kuogelea ili waweze kuendelea ku-kiss. Yacob na Rene na wao waliendelea kwa wakati wao kwenye makochi. Kama nilivyosema, Paloma akiondoka J2, JEMMA itarudi kwa nguvu zote na hawatakuwa wana-kiss kwa kujificha tena, bali itakuwa ni ya waziwazi, na tusishangae yakatokea mambo ya Richard na Tatiana.
 
Itai kushinda HoH itawasaidia Alliance ipi?

Ushindi wa Itai kwenye task ya HoH leo hii, umekuwa na faida kwake mwenyewe kwa kuwa alikuwa amebaki kama kisiwa na sasa angalau anaweza kupumua na ana uhakika kwamba bado ana wiki 2 mbele za kuendelea kuwa ndani ya jumba. Wiki hii ambayo atakuwa HoH anaweza kuitumia ku-mend mahusiano yake na alliances ambazo zilikuwa zimemtosa.

So far Girl Power haitaki kabisa kumsikia. Non-smokers alliance wanamuona ni nyoka (spy) na hivyo hawamhusishi kwa chochote kile ambacho wanachojadili kuhusu strategy zao. Amejitahidi sana kujieleza na kujitetea lakini imekuwa ngumu kumwelewa, labda kwa kuwa ni HoH anaweza kueleweka.

Smokers alliance ipo kama haipo, iwapo all Namibians wataondoka ndiyo itakuwa imepotea kwa kuwa wengine kama Mzamo na Hannington wapo wapo tu na wala hawaeleweki. Kwa hiyo Yacob anaweza kujitahidi kumvuta Itai ili angalau awe na ka-nguvu kidogo.

Utata wa Itai ni mmoja, baada ya wasichana kutaka kum-nominate, atarudisha imani kwao? Je, atakuwa tayari kujiunga na alliance ambayo imepoteza washiriki 3 kwa mpigo? Hapo panahitaji ujanja wa ziada ili kufanya maamuzi ya maana.

Umuhimu wa Itai na kwamba anahitajika na kambi ipi zaidi utaonekana siku ya Jumapili saa mbili usiku kwa saa za hapa kwetu baada ya kujua nani anaondoka na nani anabaki.

Kwa matokeo yoyote yale, kambi ya wavuta sigara itakuwa imejeruhiwa vibaya na inaweza isipone tena na ndio ukawa mwisho wao, kwa kuwa wataanza kuondoka mmoja baada mwingine. Majeraha yatakuwa mabaya sana iwapo Paloma atabaki. Majeraha yanaweza kuwa na nafuu iwapo Paloma ataondoka na Ed akabaki.

Kuondoka kwa Paloma kutapunguza confidence ya wasichana, kwa kuwa Girl Power ilikuwa na bado inaamini kwamba Paloma ni strongest player kwa wasichana wote. Confience hiyo ikipotea, hakuna tena msichana atakayetaka kuwa na alliance ya wasichana watupu.

Iwapo Girl Power itasambaratika some of the players wataishia kwa smokers na wengine wataishia kwa non-smokers, may be kunaweza kuwa na new equilibrium, otherwise kama wasichana wengi wataenda kwa non-smokers (which is a likely case), then the house will be pushed far away from the equilibrium. Kuanzia hapo ndipo tutaanza kuona backstabbing ndani ya non-smokers alliance na hasa iwapo wataungana formally Girl Power.
 
Back
Top Bottom