Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Kuelekea Jumapili na Ugumu wa wiki itakayofuata

Wiki hii tumeshuhudia Jumba likikumbwa na mtikisiko mkubwa sana ambao utaisha siku ya Jumapili. Kuanzia J2 tutashuhudia alliance za kudumu na alliance yoyote itakayopoteza mpiganaji itakuwa more vulnerable.

Mtikisiko wa J2 ulitokana na majina makubwa kuwa up for eviction na mpaka sasa haijulikani nani atabaki na wepi wataondoka. Paloma na Liz hawakutarajia wawe up for eviction tena kwa mpigo kiasi kwamba Elizabeth hakuwa na namna ya kuwaokoa wote.

Nominations zimesababisha mabadiliko ya tabia ya Paloma na Liz na hasa katika kujenga mahusiano mazuri ndani ya Jumba. Paloma amepunguza amri na amekuwa mkimya, japo bado anaendeleza tabia ya u-Mimi kuchunguza watu wanafanya nini na wana mikakati gani. Amejitahidi kuwa friendly na kila mtu na hali hiyo imemfanya aanze kuongea na Yacob na Hannington watu ambao aliapa kwamba hawezi kuwavumilia.

Liz ameingia kwenye love triangle, amejipachika kwa Hannington kiaina na huku akijua kwamba Mzamo yuko na Hannington na walishapeana rasharasha za mahaba. Ijumaa usiku Liz na Hannington walionekana wakiwa pamoja kitandani na kuonyesha ukaribu wa kutosha. Liz ametamka wazi kwamba yeye anataka commitment ya mahusiano ndani ya Jumba, the bottom line ni kwamba Liz anaangalia uhusiano wa kudumu na ambao utaingizwa kwenye alliance if she will survive eviction come Sunday.

Iwapo Hannington atakubaliana na Liz, maana yake atakuwa amemtema Mzamo rasmi na kujitengenezea adui ndani ya Jumba in case of nominations. Pia Mzamo hawezi tena kuwa kwenye alliance moja na Hannington. So Hannington MUST choose, Mzamo or Liz. Strategically anaweza kumchagua Liz kwa kuwa Liz ana mahusiano mazuri na wasichana wengine (Emma, Nkenna, Elizabeth na Kristal) na hivyo hao wadada hawawezi kum-nominate shemeji yao unless wawe wamebanwa na hawana mtu wa kum-nominate.

Mzamo yupo yupo na ana hang tu. Watu waliokuwa close nae ni twins ambao ama wote wataondoka au mmoja atabaki. Pia kuna dalili zote kwamba Hannington anampenda zaidi Liz kuliko Mzamo.

Mabadiliko ya Paloma na Liz yanaweza kufanya nominations za wiki ijayo zikawa ngumu na pia alliances kushindwa kuafikiana nani awe nominated na kwa nini, kwa kuwa wengi watakuwa na mahusiano ya kiaina na watu wa kambi nyingine.

Nkenna siku zote amekuwa karibu na Mzamo na pia ameanza kujenga ukaribu zaidi na kambi ya wavuta sigara. Kitendo hicho kinawafanya wasiovuta sigara wakose imani kwa kiasi fulani. Je, anaweza kuishia kuwa kama Itai ama atabaki kuwa mtiifu kwa wasichana na wakaka wasiovuta sigara?

Jeremy amekuwa wazi zaidi, kwamba hata katika alliance yao, anamuamini zaidi Quinn, na kwa wasichana anamuamini zaidi Emma. Hilo linaweka future ya non-smokers kwenye risk zaidi.

K1 na Kevin wanaonekana kuwa wanaaminiana sana na wanajitahidi kuwavuta wasichana wote wa Nigeria, na hasa Geraldine ili awe upande wa kwao. Geraldine amekubali kuwa na urafiki wa kawaida na K1 na hivyo ni rahisi kumvuta ukizingatia kwamba Kevin nae anatoka Nigeria.

Mpaka sasa mwakilishi wetu (Elizabeth) sijaweza kujua anaweza kuelekea wapi, ingawa ninahisi kwamba kitendo cha Elizabeth kumuuliza Kevin kwanini alikubali kum-shum (kiss) Paloma, inaweza kuwa na msg ya aina fulani kwamba anamjali Kevin na anaweza kuwa nae kwenye alliance moja na pia wanaweza kuwa marafiki.

Iwapo Paloma ataondoka, the the following possible new alliances are likely to emerge:

Jeremy, Quinn, Emma +/- Kristal +/- Liz +/- Mzamo

Kevin, K1, Lionel, Nkenna +/- Elizabeth +/- Itai +/- Mzamo

Yacob, Hannington, Edward +/- Liz +/- Mzamo +/- Itai

Key assumptions: Paloma is evicted on Sunday and Girl Power collapses.

Wote niliowawekea plus or minus, ni kwamba wanaweza kuwa kwenye hiyo alliance ama wasiwepo ikitegemeana na conditions zitakazokuwepo.

Mzamo Factor: Mzamo anaweza kuingia kwenye kundi lolote ikitegemeana maamuzi ya Hannington; pia kama Quinn ataendelea kuwa close na Mzamo; hao wakaka 2 wakimtosa basi anaweza ku-hang ama akaungana na alliance ya Nkenna ambaye ni best wa Mzamo.

Hannington Factor: Kuwa kwenye alliance na mtu kama Hannington ni hatari sana kwa kuwa anaonekana kupendwa na wasichana na anawachangamkia, ni rahisi sana kwake kugombanisha wasichana na hivyo kutengeneza maadui within an alliance or outside the alliance. Hii ni sawa na Kweku T (Ghana BBA2) aliposababisha mwakilishi wa Namibia na Zimbabwe kujenga uadui na wote walikuwa kwenye alliance moja, na wakaishia ku-nominate members wa within an alliance. Alliance yao ilipowekwa kwenye target waliondoka mmoja baada ya mwingine.

Itai Factor: Kwa sasa Itai ni hotcake kwa kuwa ni HoH, kila alliance itakuwa inamhitaji kwa udi na uvumba kwa ajili ya ku-swap ili kuokoa yeyote atakayekuwa up for eviction.

Geraldine mpaka sasa bado anaonekana kuwa na msimamo wa kwake kivyake na maamuzi yake ni Independent ingawa K1 amekuwa akijitahidi sana kumvuta ajiunge na alliance, lakini amekuwa mgumu kukubali. Nina mashaka anaweza kuamua kubaki alone bila kuwa na alliance yoyote and that may be safe kwa kuwa hana uadui na yeyote na kwamba alliances mara nyingi zina-target member wa alliance nyingine na hivyo solo players huwa wanaweza ku-survive kwa muda mrefu sana kabla ya kuwekwa kwenye target.
 
Kwenye Forums kunaonesha PALOMA bado anasupport kubwa sana, lakini nitashangilia sana nitakapoona anaitwa na IK wakate issue za kuagana. Wakuu nipo safarini sipati net work ya DSTV mtu atupashe live mambo yanpoeendelea hapo saa moja
 
Well,

AY ka-perform na kaimba Habari ndo Hiyo na ameongea kwa sekunde chache 'kamfagilia' Elizabeth.

Ndo ana-perform sasa kwa mara ya pili
 
Now,

Paloma is OUT...! Tonight we had three housemates leaving the house
 
Paloma is crying 🙂 people seem to be happy seeing her out
 
Paloma is crying 🙂 people seem to be happy seeing her out

Yaaani Leo nimefurahi kuliko wakati mwingine wowote toka BBA Revolution ianze, Kudos mkuu, yaaani mana yake ni more than asante sana.
 
Paloma is crying 🙂 people seem to be happy seeing her out

Huyu alikuwa anajiamini kama vile yeye anajua game na watazamaji wanajua nini, hata akiwa Diary room utamsikia anamwabia BB eti nimewambia wasichana kuwa hata nikitoka wabaki na umoja kama vile yey ndio mama yao.

Sasa hivi ndio tutaona game nadhani Yakob akitoka maana naye ni strategist mwingine upande wa wanaume, watu wanshindwa kucheza wanavyotaka kwasababu hawa jamaa walikuwa wandictate terms.

Nadhani hata wanawake sasa watarudi kumuungamia Itai maana watajua kuwa labda watazamaji tumemind bit la Paloma (Pamulomo kihehe) kwa Itai
 
Sasa hivi ndio tutaona game nadhani Yakob akitoka maana naye ni strategist mwingine upande wa wanaume, watu wanshindwa kucheza wanavyotaka kwasababu hawa jamaa walikuwa wandictate terms. Nadhani hata wanawake sasa watarudi kumuungamia Itai maana watajua kuwa labda watazamaji tumemind bit la Paloma (Pamulomo kihehe) kwa Itai

Yacob anachowaza 24/7 ni alliances na strategies kiasi kwamba ana affect hata individual strategies za members wa alliance yake. Huyu ninaona ana kasheshe na leo hii sijui kama atalala kwa kuwa kuna mambo yanamchanganya.

Itai alipotoa siri za Girl Power na Non-smokers Alliance, Yacob alizitumia na baadaye akam-dump Itai. Alliance zote zilimkataa. Siku aliposhinda HoH, watu wakaanza kujivuta kwake, including Yacob na Paloma.

Kila aliye ndani ya Jumba anajua kwamba Itai alishaanza kuvutwa na Paloma, kitu ambacho automatically kinamfanya awe loyal kwa wasichana na hivyo Yacob na kundi lake wanakuwa kwenye risk.

Yacob amepoteza members 2, kwa hiyo survival ya kundi lake inahitaji sana msaada wa Itai, so lazima wafanye kazi ya ziada kumshawishi ajiunge nao, lakini tayari amesogezwa kwa akina dada ili atumike then wam-dump tena for good.

Itai will be a fool iwapo ata-implement mawazo ya Paloma ambaye hayuko kwenye jumba na hana uhakika kama yatamsaidia yeye au la. Wiki ijayo ni mbaya sana kwa Itai kwa sababu hakuwa na kambi na hivyo anaweza kutumika kirahisi zaidi bila ya yeye kujijua.
 
Sasa hivi ndio tutaona game nadhani Yakob akitoka maana naye ni strategist mwingine upande wa wanaume, watu wanshindwa kucheza wanavyotaka kwasababu hawa jamaa walikuwa wandictate terms.

Nadhani hata wanawake sasa watarudi kumuungamia Itai maana watajua kuwa labda watazamaji tumemind bit la Paloma (Pamulomo kihehe) kwa Itai
Nop Mbogela,

Things are no longer as expected!


In order to turn up the volume, Big Brother has decided that Housemates will now be "Comrades in Arms" and will operate as teams of two. This means that a team will play as if they are one Housemate.

If one member of the team is nominated, so is the other. If one member of the team is saved by the Head of House, so is the other. If one member of the team is evicted, so is the other.

The only place the Housemates do not operate as one, is in the Diary Room. Their Money Pots also remains individual.

From now on, every Housemate's team mate is their life-line . Their survival in the House is now in their team mates' hands.

The Housemates are paired up as follows:


  • Jeremy and Geraldine
  • Edward and Emma
  • Kaone and Liz
  • Itai and Nkenna
  • Hannington and Yacob
  • Quinn and Kristal
  • Mzamo and Leonel
  • Kevin and Elizabeth
 
Mixed Signal?

Siku ya Ijumaa Jeremy, Emma na Paloma walisikika wakisema kwamba eviction ya leo itabadilisha game plan yote na alliances zilizopo. Itawapa fursa kuweza kujua Afrika wanataka kuona nini ama wanavutiwa na nini.

Leo wametoka washiriki 3 wenye character tofauti kabisa. Kibaya zaidi Ed ni photocopy ya Erastus kwa kuwa vitimbi vyao na tabia zao zinafanana sana. Je, washiriki waliobaki wataweza ku-pick signal na kujua viewers wanataka kuona nini?

Je, tutegemee more actions kwa couples ama ujinga mwingi sana wa mapacha? Maana wale mapacha ni issue, nashindwa ku-imagine wazazi wao walikuwa na headache kiasi gani wakati wakiwa teens kwa kuwa wanaonekana ni wasumbufu sana, wakati mwingine huwa ninawafananisha na AKI na UKWA (Osita Iheme & Chinedu Ikedieze) vile vi-emoro vya Nigeria ambavyo huwa vinaigiza movie kama ndugu.
 
Nop Mbogela,

Things are no longer as expected!


In order to turn up the volume, Big Brother has decided that Housemates will now be "Comrades in Arms" and will operate as teams of two. This means that a team will play as if they are one Housemate.

If one member of the team is nominated, so is the other. If one member of the team is saved by the Head of House, so is the other. If one member of the team is evicted, so is the other.

The only place the Housemates do not operate as one, is in the Diary Room. Their Money Pots also remains individual.

From now on, every Housemate's team mate is their life-line . Their survival in the House is now in their team mates' hands.

The Housemates are paired up as follows:


  • Jeremy and Geraldine
  • Edward and Emma
  • Kaone and Liz
  • Itai and Nkenna
  • Hannington and Yacob
  • Quinn and Kristal
  • Mzamo and Leonel
  • Kevin and Elizabeth

Hapo BB ameua bendi, kuna watu wataondoka kwa sababu ya ku-pair na mtu mwenye makasheshe ama weak player.
 
Hapo BB ameua bendi, kuna watu wataondoka kwa sababu ya ku-pair na mtu mwenye makasheshe ama weak player.
Pale kaua makundi, kaanzisha makundi!

It's a hard task, some people (even those who were not supported to) will leave the house due to this complex decision. Unfair I may say 🙁
 
Pale kaua makundi, kaanzisha makundi!

It's a hard task, some people (even those who were not supported to) will leave the house due to this complex decision. Unfair I may say 🙁

Haijatulia kabisa, Presure inapanda inashuka mwenzenu maana siku zote siajawafagilia waNigeria kabisaaaa! na kwenye hili gemu hawana bahati hata kidogo, Lakini Kelvin sio mbaya sana, maana nadhani wanija wakiamua kusucrifice basi wataanza na Geraldine na Nkenna kabla ya kumtosa Kelvin. Duu lakini imekaa vibaya kutabiri ushindi, lakini kimchezo ipo safi sana sasa hivi gemu halitabiriki, tusubiri Nomination baadaye.
 
Huyu alikuwa anajiamini kama vile yeye anajua game na watazamaji wanajua nini, hata akiwa Diary room utamsikia anamwabia BB eti nimewambia wasichana kuwa hata nikitoka wabaki na umoja kama vile yey ndio mama yao.

Sasa hivi ndio tutaona game nadhani Yakob akitoka maana naye ni strategist mwingine upande wa wanaume, watu wanshindwa kucheza wanavyotaka kwasababu hawa jamaa walikuwa wandictate terms.

Nadhani hata wanawake sasa watarudi kumuungamia Itai maana watajua kuwa labda watazamaji tumemind bit la Paloma (Pamulomo kihehe) kwa Itai

Umenifurahisha Mbogela 'Pamulomo' siyo! Na veve umunyakukae? Pamoja mkuu.
 
Pale kaua makundi, kaanzisha makundi!

It's a hard task, some people (even those who were not supported to) will leave the house due to this complex decision. Unfair I may say 🙁

Very Unfair Indeed!

Hizi pairs zina-favor nchi zilizo na wawakilishi zaidi ya mmoja. Kwa kuwa wawakilishi wake wako kwenye more than one pair na ni rahisi kuunda alliance za kuaminika based on nationalities of the representatives. Laki.ni kwa ujumla Big Brother amechemsha big time, anahitaji kuvunja hizi pairs Jumapili ijayo.

Kuna pairs 3 naziona zimekalia kuti kavu, lolote linaweza kutokea kwenye nominations na zinaweza kuwa up for eviction.

Hannington & Yacob
Mzamo & Lionel
Kaone & Liz

Kuna pairs ambazo wiki hii ziko salama sana:
Quinn & Kristal
Itai & Nkenna
Kevin & Elizabeth
Edward & Emma

Hii moja yenyewe haijulikani, inategemeana na watu wataamka namna gani na nina mashaka sana Itai anaweza kuitoa kafara, kwa kuwa Jeremy na Itai haziivi, japo uwepo wa Geraldine unaweza kumwokoa Jeremy.

Jeremy & Geraldine

Let us wait and see what will happen today after nominations and swapping.
 
Back
Top Bottom