Kuelekea Jumapili na Ugumu wa wiki itakayofuata
Wiki hii tumeshuhudia Jumba likikumbwa na mtikisiko mkubwa sana ambao utaisha siku ya Jumapili. Kuanzia J2 tutashuhudia alliance za kudumu na alliance yoyote itakayopoteza mpiganaji itakuwa more vulnerable.
Mtikisiko wa J2 ulitokana na majina makubwa kuwa up for eviction na mpaka sasa haijulikani nani atabaki na wepi wataondoka. Paloma na Liz hawakutarajia wawe up for eviction tena kwa mpigo kiasi kwamba Elizabeth hakuwa na namna ya kuwaokoa wote.
Nominations zimesababisha mabadiliko ya tabia ya Paloma na Liz na hasa katika kujenga mahusiano mazuri ndani ya Jumba. Paloma amepunguza amri na amekuwa mkimya, japo bado anaendeleza tabia ya u-Mimi kuchunguza watu wanafanya nini na wana mikakati gani. Amejitahidi kuwa friendly na kila mtu na hali hiyo imemfanya aanze kuongea na Yacob na Hannington watu ambao aliapa kwamba hawezi kuwavumilia.
Liz ameingia kwenye love triangle, amejipachika kwa Hannington kiaina na huku akijua kwamba Mzamo yuko na Hannington na walishapeana rasharasha za mahaba. Ijumaa usiku Liz na Hannington walionekana wakiwa pamoja kitandani na kuonyesha ukaribu wa kutosha. Liz ametamka wazi kwamba yeye anataka commitment ya mahusiano ndani ya Jumba, the bottom line ni kwamba Liz anaangalia uhusiano wa kudumu na ambao utaingizwa kwenye alliance if she will survive eviction come Sunday.
Iwapo Hannington atakubaliana na Liz, maana yake atakuwa amemtema Mzamo rasmi na kujitengenezea adui ndani ya Jumba in case of nominations. Pia Mzamo hawezi tena kuwa kwenye alliance moja na Hannington. So Hannington MUST choose, Mzamo or Liz. Strategically anaweza kumchagua Liz kwa kuwa Liz ana mahusiano mazuri na wasichana wengine (Emma, Nkenna, Elizabeth na Kristal) na hivyo hao wadada hawawezi kum-nominate shemeji yao unless wawe wamebanwa na hawana mtu wa kum-nominate.
Mzamo yupo yupo na ana hang tu. Watu waliokuwa close nae ni twins ambao ama wote wataondoka au mmoja atabaki. Pia kuna dalili zote kwamba Hannington anampenda zaidi Liz kuliko Mzamo.
Mabadiliko ya Paloma na Liz yanaweza kufanya nominations za wiki ijayo zikawa ngumu na pia alliances kushindwa kuafikiana nani awe nominated na kwa nini, kwa kuwa wengi watakuwa na mahusiano ya kiaina na watu wa kambi nyingine.
Nkenna siku zote amekuwa karibu na Mzamo na pia ameanza kujenga ukaribu zaidi na kambi ya wavuta sigara. Kitendo hicho kinawafanya wasiovuta sigara wakose imani kwa kiasi fulani. Je, anaweza kuishia kuwa kama Itai ama atabaki kuwa mtiifu kwa wasichana na wakaka wasiovuta sigara?
Jeremy amekuwa wazi zaidi, kwamba hata katika alliance yao, anamuamini zaidi Quinn, na kwa wasichana anamuamini zaidi Emma. Hilo linaweka future ya non-smokers kwenye risk zaidi.
K1 na Kevin wanaonekana kuwa wanaaminiana sana na wanajitahidi kuwavuta wasichana wote wa Nigeria, na hasa Geraldine ili awe upande wa kwao. Geraldine amekubali kuwa na urafiki wa kawaida na K1 na hivyo ni rahisi kumvuta ukizingatia kwamba Kevin nae anatoka Nigeria.
Mpaka sasa mwakilishi wetu (Elizabeth) sijaweza kujua anaweza kuelekea wapi, ingawa ninahisi kwamba kitendo cha Elizabeth kumuuliza Kevin kwanini alikubali kum-shum (kiss) Paloma, inaweza kuwa na msg ya aina fulani kwamba anamjali Kevin na anaweza kuwa nae kwenye alliance moja na pia wanaweza kuwa marafiki.
Iwapo Paloma ataondoka, the the following possible new alliances are likely to emerge:
Jeremy, Quinn, Emma +/- Kristal +/- Liz +/- Mzamo
Kevin, K1, Lionel, Nkenna +/- Elizabeth +/- Itai +/- Mzamo
Yacob, Hannington, Edward +/- Liz +/- Mzamo +/- Itai
Key assumptions: Paloma is evicted on Sunday and Girl Power collapses.
Wote niliowawekea plus or minus, ni kwamba wanaweza kuwa kwenye hiyo alliance ama wasiwepo ikitegemeana na conditions zitakazokuwepo.
Mzamo Factor: Mzamo anaweza kuingia kwenye kundi lolote ikitegemeana maamuzi ya Hannington; pia kama Quinn ataendelea kuwa close na Mzamo; hao wakaka 2 wakimtosa basi anaweza ku-hang ama akaungana na alliance ya Nkenna ambaye ni best wa Mzamo.
Hannington Factor: Kuwa kwenye alliance na mtu kama Hannington ni hatari sana kwa kuwa anaonekana kupendwa na wasichana na anawachangamkia, ni rahisi sana kwake kugombanisha wasichana na hivyo kutengeneza maadui within an alliance or outside the alliance. Hii ni sawa na Kweku T (Ghana BBA2) aliposababisha mwakilishi wa Namibia na Zimbabwe kujenga uadui na wote walikuwa kwenye alliance moja, na wakaishia ku-nominate members wa within an alliance. Alliance yao ilipowekwa kwenye target waliondoka mmoja baada ya mwingine.
Itai Factor: Kwa sasa Itai ni hotcake kwa kuwa ni HoH, kila alliance itakuwa inamhitaji kwa udi na uvumba kwa ajili ya ku-swap ili kuokoa yeyote atakayekuwa up for eviction.
Geraldine mpaka sasa bado anaonekana kuwa na msimamo wa kwake kivyake na maamuzi yake ni Independent ingawa K1 amekuwa akijitahidi sana kumvuta ajiunge na alliance, lakini amekuwa mgumu kukubali. Nina mashaka anaweza kuamua kubaki alone bila kuwa na alliance yoyote and that may be safe kwa kuwa hana uadui na yeyote na kwamba alliances mara nyingi zina-target member wa alliance nyingine na hivyo solo players huwa wanaweza ku-survive kwa muda mrefu sana kabla ya kuwekwa kwenye target.