Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Huyu dada alikuwa anaboa kichizi,anabehave kama vila hana exposure,,,,kuhandle usumbufu wa kawaida wa wanaume tu eti inakuwa tabu anakuwa mbogo mwanaume akimtania mambo ya nanihii,ka Bikira bwana ha!....Hakufaa kabisa,it's fair!..They're supposed to entertain and she wasn't doing that!...Welcome home,next time tupeleke Masela!
Kweli jamani dunia hii ina watu wa kila aina! mwaka jana yule dada Latoya alikuwa angawa uroda ,wakamtukana weee mpaka basi.Sasa Eliza naye anatunza maadili naye mnasema anaboa mnataka mgawaji.tuwaweke kundi gani enyi binadamu?mbona hamueleweki!? Aaargh!