They call it africa...have evicted..Latoya...
Sorry latoya is all ur fault when u where jumping from one guy to another u think it will work like that.
Finaly Latoya is out of the game.....welcome back baby....i will be visiting arusha in 4 weeks time.....its all about game...
Back to secretary work..u have miss work for so many days....
Proves my point above, no need to give any more undue publicity!Lakini nadhani ametimiza sehemu ya malengo yake. Anasema kimoja alichokuwa anakitafuta ni umaarufu na anaamini kuwa sasa anao kwa sababu ataandikwa na magazeti yote tofauti na alivyokuwa karani wa ofisini awali
Lakini nadhani ametimiza sehemu ya malengo yake. Anasema kimoja alichokuwa anakitafuta ni umaarufu na anaamini kuwa sasa anao kwa sababu ataandikwa na magazeti yote tofauti na alivyokuwa karani wa ofisini awali
Umaarufu kwa ufirauni alioufanya ndani ya jumba la BBA 3 wa kurukia mwanaume mmoja baada ya mwingine kama nyani anavyorukia miti!!? Sidhani kama huo ni umaarufu mtu yeyote anastahili kuwa nao.
Jamani, kila mtu ana mipango yake na mbinu za utekelezaji..mwenyewe kasema alikuwa anataka umaarufu na sasa keshaupata..pia kasema hajazoea " fishing in the river bali in the Ocean meaning BBA ulikuwa uwanja mdogo sana wa yeye kufikia malengo yake.. sasa yuko huru mambo ndo yanaanza.
Tumtakie tu kila la kheri!
Huku ndiko kuanguka kwa maadili yetu. Hakuna yeyote yule anayestahili kumpa uwanja huyu binti kwa kutumia mambo aliyoyafanya alipokuwa BBA III kujipatia umaarufu. Umaarufu kwa lipi hasa? 😕 labda anaweza kupewa ubunge wa kuteuliwa katika chama cha mafisadi.
nitafurahi sana kama atatolewa katika hayo mashindano mimi naona kama kachelewa kutolewa.
Tabia zake hazioneshi kama anaiwakilishi tanzania naona anafanya vituko na kujionesha tu.
Lakini jengine mimi naona hata mashindano wala hayana haja ya kuyasupport kwa sababu hayaendani na mila na utamaduni wetu ni uhuni mtupu unaofanyika humo.
Na anafanyiwa makusudi kutafutwa watu wa jinsi tofauti wakiwa sawa yaani wanaume sita na wanawake sita na kuwekwa humo lazima wataonesha tabia zao mbovu na ingawa wengine wanajidai kwamba sio rahisi mtu kuweza kuvumilia zaidi ya mwezi mmoja bila ya kufanya sex lakini mimi siamini ni uongo mtupu unaweza sana ukiamua.
Na ndio kuna watu humu waume zao au wake zao wanakwenda kusoma na wao wanakaa bila ya kutoka nje wanavumilia kitu chochote ni mind seat tu akili yako ukiielekeza basi na ndio maana ukiiendekeza akili yako katika mambo ya sex hata mkeo akiondoka unaweza ukalala na mfanyakazi wako wa nyumba kwa kisingizio cha kutoweza kustahamili lakini hutaishia hapo kama atakataa utambaka na ukijiendekeza utazowea basi ukikosa huyo utatafuta hata mtoto wa miaka sita au chini ya hapo kama wanavyofanya wengi tu katika ulimwengu huu ambapo baadhi ya binaadamu wenye akili zao wanakenda na wanyama pia . Pooo
stonetowner
kwikwikwikwi Thanks God........aibu hii imetoka wengine walishaanza kuitwa mashemeji....namsubiri may be i can megaling
Mkuu nawe unataka kumega? mbona naona sidiria kwenye avatar hapo juu?
....teh! teh!tehhhhhhh!!!!!!!!!! I like this!!!!!!!!!!!!!Si alitaka umaarufu? sasa kaupata wapenda mambo yetu yalee wanamsubiri kwa hamu,atagombewa kama mpira wa kona kwa miezi kadhaa nakujipatia vijisenti kidogo awe muangalifu tu wasimwachie na ulee ugonjwa wetu utakaotumaliza watanzania.Kuna mhuni mmoja jana usiku alituambia kamtayarishia 2m[shangazi yake alimwomba laki 2 akamkatalia].Hatuna akili ya maendeleo tunawaza starehe tu.
Hujasikia watu wanatembea na makufuli machafu ya mademu wao.....Mkuu nawe unataka kumega? mbona naona sidiria kwenye avatar hapo juu?
watu wanafanya soon nita.....kuna jamaa kila akimega shori anaacha kufuli anampa jipya.....kabati lake limejaa.....kwi kwi kwi kwi... labda hobi yake ni kukusanya sidiria kila anapomega... wow