Big Brother Africa III

Big Brother Africa III

They call it africa...have evicted..Latoya...

Sorry latoya is all ur fault when u where jumping from one guy to another u think it will work like that.

Yeye angebaki na morris tu!hapo ndo alikosea
 
Ali copy na ku paste kwa richard....harafu akaongezea na vya kwake kidogo sasa kumbe ndio akaondoa na zile point za mwanzo zikawa hazima maana....mwenzie alikuwa wa mwisho kutoka yeye kawa wa kwanza...Sorry Latoya, your strategy was poor and ur game plan failed. Take care and best of luck.

Sijui ni pesa ndio alikuwa anawaza jinsi ya kuzipata kwa njia yoyote hata kama haina maana...si unajua wenzetu...dont qoute me wrong.

"Latoya dug her own grave. Its not my fault. Ok she says she wont go back to being Secretary. Hmm OMG Did you guys just see how Africa voted! Am sooooooooooooo in shock!"
 
If you disapprove of that Latoya has done, then don't give her unnecessary publicity because that is what she craved for!!
 
Finaly Latoya is out of the game.....welcome back baby....i will be visiting arusha in 4 weeks time.....its all about game...

Back to secretary work..u have miss work for so many days....

Thanks to God!! CCM waandae mapokezi na maandamano maana ndo malezi na makuzi ya chama

Ushi
 
Lakini nadhani ametimiza sehemu ya malengo yake. Anasema kimoja alichokuwa anakitafuta ni umaarufu na anaamini kuwa sasa anao kwa sababu ataandikwa na magazeti yote tofauti na alivyokuwa karani wa ofisini awali
 
Proves my point above, no need to give any more undue publicity!
 
Yes one of the plan she had was to be celebrity..that she got coz kesho utasikia ijumaa week end,Tanzania daima..mwanachi etc they are talking about her...so kashaupata.

Achili ma fisi maji nao watataka kuwa naye ili waonekane....si unajua kule kuna ile gemstone u won't find anywhere in the world except kwa kenya..sorry tanzania..ingawa inachibwa tanzania?

OMG I just realised that 11 countries voted Latoya out. So from the other week, one country jumped ship! S.A where you @? You realised it.

Good bye latoya.have a safe journey 2 tanzania.we will be waiting 4 u when u become famous
 
Lakini nadhani ametimiza sehemu ya malengo yake. Anasema kimoja alichokuwa anakitafuta ni umaarufu na anaamini kuwa sasa anao kwa sababu ataandikwa na magazeti yote tofauti na alivyokuwa karani wa ofisini awali

Umaarufu kwa ufirauni alioufanya ndani ya jumba la BBA 3 wa kurukia mwanaume mmoja baada ya mwingine kama nyani anavyorukia miti!!? Sidhani kama huo ni umaarufu mtu yeyote anastahili kuwa nao.
 
Umaarufu kwa ufirauni alioufanya ndani ya jumba la BBA 3 wa kurukia mwanaume mmoja baada ya mwingine kama nyani anavyorukia miti!!? Sidhani kama huo ni umaarufu mtu yeyote anastahili kuwa nao.

Jamani, kila mtu ana mipango yake na mbinu za utekelezaji..mwenyewe kasema alikuwa anataka umaarufu na sasa keshaupata..pia kasema hajazoea " fishing in the river bali in the Ocean meaning BBA ulikuwa uwanja mdogo sana wa yeye kufikia malengo yake.. sasa yuko huru mambo ndo yanaanza.
Tumtakie tu kila la kheri!
 
Huku ndiko kuanguka kwa maadili yetu. Hakuna yeyote yule anayestahili kumpa uwanja huyu binti kwa kutumia mambo aliyoyafanya alipokuwa BBA III kujipatia umaarufu. Umaarufu kwa lipi hasa? 😕 labda anaweza kupewa ubunge wa kuteuliwa katika chama cha mafisadi.
 
Ili wambandue zaidi ya BBA3
 
Bila Latoya BBA3 itapoa sana. Lakini pia nahisi kulikuwa na wivu na Tanzania, mumewaona wale wadada, kama walikuwa wanasema Loose Tanzania, kwa hiyo nadhani nchi za Africa ziliamua kuiua Tanzania safari hii. Mwaka huu ushindi Unaenda Angola, English Non speaking country, BBI Angola walikuwa wa kwanza kutolewa, This year Angola wanna win the money. Poor Latoya you did the best
 
Alikuwa na stratergy mbaya. Hata kabla mwezi haujaisha alishajitongozesha kwa wanaume wawili. Kama angekuwa na akili angetakiwa afahamu tokea awali jinsi Afrika wanavyochukia ufuska. Kilichomsaidia Richard ni ule uhusiano wao uliokuwa na milima na mabonde kibao, lakini suala la yeye kuvunja ndoa yake liliwaudhi sana watazamaji wengi. Good lucky Latoya. Uwe mjanja zaidi katika kusoma nini wanachohitaji watazamaji.
 
nitafurahi sana kama atatolewa katika hayo mashindano mimi naona kama kachelewa kutolewa.

Tabia zake hazioneshi kama anaiwakilishi tanzania naona anafanya vituko na kujionesha tu.

Lakini jengine mimi naona hata mashindano wala hayana haja ya kuyasupport kwa sababu hayaendani na mila na utamaduni wetu ni uhuni mtupu unaofanyika humo.

Na anafanyiwa makusudi kutafutwa watu wa jinsi tofauti wakiwa sawa yaani wanaume sita na wanawake sita na kuwekwa humo lazima wataonesha tabia zao mbovu na ingawa wengine wanajidai kwamba sio rahisi mtu kuweza kuvumilia zaidi ya mwezi mmoja bila ya kufanya sex lakini mimi siamini ni uongo mtupu unaweza sana ukiamua.

Na ndio kuna watu humu waume zao au wake zao wanakwenda kusoma na wao wanakaa bila ya kutoka nje wanavumilia kitu chochote ni mind seat tu akili yako ukiielekeza basi na ndio maana ukiiendekeza akili yako katika mambo ya sex hata mkeo akiondoka unaweza ukalala na mfanyakazi wako wa nyumba kwa kisingizio cha kutoweza kustahamili lakini hutaishia hapo kama atakataa utambaka na ukijiendekeza utazowea basi ukikosa huyo utatafuta hata mtoto wa miaka sita au chini ya hapo kama wanavyofanya wengi tu katika ulimwengu huu ambapo baadhi ya binaadamu wenye akili zao wanakenda na wanyama pia . Pooo

stonetowner

big brother ifutwe. Haina maadili kwa kizazi chetu. Mengi wanayofanya humo ndani ya jumba ni ya unafiki tu. Latoya for sure hafai na sielewi ni kwa nini ameendelea kuwepo hadi leo.

Kikubwa zaidi nashangaa kwa nini in 3 months eti mtu huwezi kukaa bila ngono ni mpaka tena ubadilishe wanawake au wanaume? Shame!!!! Hii inatufundisha nini jamii?? Ila nataka niseme kuwa wasidanganye umma kuwa ni lazima to cheat ukiwa nje ya mwenzi wako na kuwa huwezi kukaa beyond 3 months bila sex.huo ni ulimbukeni.
 
Si alitaka umaarufu? sasa kaupata wapenda mambo yetu yalee wanamsubiri kwa hamu,atagombewa kama mpira wa kona kwa miezi kadhaa nakujipatia vijisenti kidogo awe muangalifu tu wasimwachie na ulee ugonjwa wetu utakaotumaliza watanzania.Kuna mhuni mmoja jana usiku alituambia kamtayarishia 2m[shangazi yake alimwomba laki 2 akamkatalia].Hatuna akili ya maendeleo tunawaza starehe tu.
 
kwikwikwikwi Thanks God........aibu hii imetoka wengine walishaanza kuitwa mashemeji....namsubiri may be i can megaling
 
kwikwikwikwi Thanks God........aibu hii imetoka wengine walishaanza kuitwa mashemeji....namsubiri may be i can megaling

Mkuu nawe unataka kumega? mbona naona sidiria kwenye avatar hapo juu?
 
Si alitaka umaarufu? sasa kaupata wapenda mambo yetu yalee wanamsubiri kwa hamu,atagombewa kama mpira wa kona kwa miezi kadhaa nakujipatia vijisenti kidogo awe muangalifu tu wasimwachie na ulee ugonjwa wetu utakaotumaliza watanzania.Kuna mhuni mmoja jana usiku alituambia kamtayarishia 2m[shangazi yake alimwomba laki 2 akamkatalia].Hatuna akili ya maendeleo tunawaza starehe tu.
....teh! teh!tehhhhhhh!!!!!!!!!! I like this!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu nawe unataka kumega? mbona naona sidiria kwenye avatar hapo juu?
Hujasikia watu wanatembea na makufuli machafu ya mademu wao.....

kwi kwi kwi kwi... labda hobi yake ni kukusanya sidiria kila anapomega... wow
watu wanafanya soon nita.....kuna jamaa kila akimega shori anaacha kufuli anampa jipya.....kabati lake limejaa.....
 
Back
Top Bottom