Kwenye ufuska tunaongoza na ndiyo maana ukimwi unatumaliza, lakini hawa BBA nao wanaonyesha mambo mengine ambayo BB katika nchi nyingine hayaruhusiwi kuonyesha. Je, kwa nini wanafanya hivyo? (wanaongeza idadi ya watazamaji) Sana sana katika nchi nyingine wanaweza kuonyesha watu wanakiss hawaonyeshi zaidi ya hapo. Kuna nchi kama sikosei Australia walionyesha live jamaa anakula uroda, waziri mkuu aliyepita wa nchi hiyo akakipiga marufuku na hakipo tena nchi hiyo.
Viongozi lazima wawaambie hawa BBA kwamba kuna vitu vingine havistahili kuonyeshwa hadharani, kama hawataki kusikia hilo, basi BBA kipigwe marufuku Bongo. Wakati tunajidai tuna mikakati mikali ya kupambana na ukimwi, si wakati wa kuonyesha ngono hadharani. Hawa viongozi waliochapa usingizi inabidi waamke haraka.
Swadakta! HApo umenena Bubu. WaTz tuna wakati mgumu sana na hizi TV; hebu fikiria uko nyumbani na una watoto (teenagers), nadhani itabidi uwaachie TV ukajifiche chumbani!
Kama serikali haiwezi hayo uliyosema nashauri ipige marufuku WaTz kushiriki BBA ingawa kwa jinsi wanasiasa wetu walivyo hayo uliyoshauri ni ngumu sana kuchukua hatua maana Layota akishinda ndipo utaona mbwembwe na pongezi zao kwa Layota na ndipo utaona wanavyofagilia Ilani za vyama vyao,Katibu wa Uenezi Kapteni wa Manyoni akiwa Kiranja.
Mkuu mimi sikupingi ila unadhani yale yanayoendelea BB3 saa hivi hawa teenagers wa dpt com hawayajui?Dawa ni kupiga moyo konde na kuangalia!Sasa kama hauna Televisheni mbili utafanyaje?
Now it's Big Brother Africa 2008!
Who's representing Tanzania? Kenya? Uganda?
Will he/she make it?
Which countries have delegates?
Do we need this for our Country?
Is there anything we do expect to learn from it?
Who do you expect to be your best House Mate?
What other expectations do you have?
Only in a minute to come!
Nimeshindwa kuelewa hapo? Latoya alimkiss Ricco au alikataa, Kama kweli alikuwa amemkiss, basi hapo haijatulia. Washabiki kwa ujumla wanamuona Latoya maharage ya Mbeya, na sasa hii notion imeenda nje ya TZ, ana nafasi ndogo kama hajaweka sawa mkakati wake.
Za leo kaka,
Samahani kwa kuwa out of topic, ombi langu ni jinsi gani mnaweza kunisaidia nipate series za the comedy kama ipo. Jamani na miss sana vibwende vyao. kama ipo sight ntashukuru kuipata. Alafu nimetumiwa mimbo ya dini na shy nika down load real player but nimeshindwa kuzi download. Sijui baada ya kudown load real player what is next. Am very new to computers issues, kindly show me the steps it possible. Thanks brother
Ombi:
Tuwe na kawaida ya kuwa responsible human beings hata kama inauma. Jamani, wasanii wetu wanahitaji kupata kifuta jasho kutokana na kazi zao..sio kuwanyonya tuuuu..!
I can't imagine mtu anataka ku-download for free nyimbo za deen .. sasa unaiba nyimbo za deen ili iweje? Si asavali uibe hizi za 'bebi ai lavyuuuu?'
Watu bwana..
Mshiriki wetu kwenye jumba la big brother, Latoya yupo katika nomination week hii.
Naomba kuuliza je haiwezekani mtu kukaa 90 days without sex? Especially kwa wanawake? Wanaume watajitetea ati ni weak creatures which I don't support!!! Ninaamini wote waliopo kule au majority have partners left behind!!! Hivyo basi, ni lazima washiriki wa behave vizuri. Inanisikitisha kuwa kwa vitendo hivi kama a partner is out of the sight then sahau uaminifu. so then the issue oF TRUE LOVE PRACTICALLY IS A DREAM!!! IMEBAKI THEORY TU.
At the same time BBA in erode morals hasa za teens. Sioni fundisho pale wale sioni vipaji vinaendelezwa pale. Ati kwenda tu kuelewa maisha ya kawaida aishiyo binadamu. Basi si Binadamu wote wanaishi maisha ya members wa kule BBA. So the findings should never be generalized.
For Sure Latoya must be out. Anafikiri akitumia mbinu ya Richard atafaulu? Big brother this year atakuwa na other indicators. Thanks.
Maharage ya mbeya hayajaliwa bado?.....
...maane mimi mbona niliwahi kukaa miezi 6 bila sex ni uamuzi tu...