Mbogela
JF-Expert Member
- Jan 28, 2008
- 1,384
- 258
http://www.mnetafrica.co.za/bigbrot...d=4095&Search=&CategoryId=54&sortby=1&CPage=0
Angalia hiyo Morris kambana mtoto ambusu lakini Mtoto amemwaga hakuna. Mimi naamini huyu mtoto anajua namna ya kucheza hili gemu. Mtaona mpaka mwisho hakuna kumega wala kumegwa. Ni ujanja wa mchezo washabikiwengi wamemlalamikia Big Brother kwa kuondoa kamera hapo maana walidhani atatoa mate hata BB anaonekana kuelewa kuwa hilo jumba lipo chini ya Morris na Latoya kulifanya liwe hot.