Big Brother Africa III

Big Brother Africa III

http://www.mnetafrica.co.za/bigbrot...d=4095&Search=&CategoryId=54&sortby=1&CPage=0

Angalia hiyo Morris kambana mtoto ambusu lakini Mtoto amemwaga hakuna. Mimi naamini huyu mtoto anajua namna ya kucheza hili gemu. Mtaona mpaka mwisho hakuna kumega wala kumegwa. Ni ujanja wa mchezo washabikiwengi wamemlalamikia Big Brother kwa kuondoa kamera hapo maana walidhani atatoa mate hata BB anaonekana kuelewa kuwa hilo jumba lipo chini ya Morris na Latoya kulifanya liwe hot.
 
Kwenye ufuska tunaongoza na ndiyo maana ukimwi unatumaliza, lakini hawa BBA nao wanaonyesha mambo mengine ambayo BB katika nchi nyingine hayaruhusiwi kuonyesha. Je, kwa nini wanafanya hivyo? (wanaongeza idadi ya watazamaji) Sana sana katika nchi nyingine wanaweza kuonyesha watu wanakiss hawaonyeshi zaidi ya hapo. Kuna nchi kama sikosei Australia walionyesha live jamaa anakula uroda, waziri mkuu aliyepita wa nchi hiyo akakipiga marufuku na hakipo tena nchi hiyo.
Viongozi lazima wawaambie hawa BBA kwamba kuna vitu vingine havistahili kuonyeshwa hadharani, kama hawataki kusikia hilo, basi BBA kipigwe marufuku Bongo. Wakati tunajidai tuna mikakati mikali ya kupambana na ukimwi, si wakati wa kuonyesha ngono hadharani. Hawa viongozi waliochapa usingizi inabidi waamke haraka.

Swadakta! HApo umenena Bubu. WaTz tuna wakati mgumu sana na hizi TV; hebu fikiria uko nyumbani na una watoto (teenagers), nadhani itabidi uwaachie TV ukajifiche chumbani!

Kama serikali haiwezi hayo uliyosema nashauri ipige marufuku WaTz kushiriki BBA ingawa kwa jinsi wanasiasa wetu walivyo hayo uliyoshauri ni ngumu sana kuchukua hatua maana Layota akishinda ndipo utaona mbwembwe na pongezi zao kwa Layota na ndipo utaona wanavyofagilia Ilani za vyama vyao,Katibu wa Uenezi Kapteni wa Manyoni akiwa Kiranja.
 
Mkuu mimi sikupingi ila unadhani yale yanayoendelea BB3 saa hivi hawa teenagers wa dpt com hawayajui?Dawa ni kupiga moyo konde na kuangalia!Sasa kama hauna Televisheni mbili utafanyaje?
 
Mkuu mimi sikupingi ila unadhani yale yanayoendelea BB3 saa hivi hawa teenagers wa dpt com hawayajui?Dawa ni kupiga moyo konde na kuangalia!Sasa kama hauna Televisheni mbili utafanyaje?

Sawa, ni heri wayajue kupitia njia za panya na si kupitia sebuleni kwako!
 
bbheader.gif

Now it's Big Brother Africa 2008!

Who's representing Tanzania? Kenya? Uganda?

Will he/she make it?

Which countries have delegates?

Do we need this for our Country?

Is there anything we do expect to learn from it?

Who do you expect to be your best House Mate?

What other expectations do you have?

Only in a minute to come!

Za leo kaka,

Samahani kwa kuwa out of topic, ombi langu ni jinsi gani mnaweza kunisaidia nipate series za the comedy kama ipo. Jamani na miss sana vibwende vyao. kama ipo sight ntashukuru kuipata. Alafu nimetumiwa mimbo ya dini na shy nika down load real player but nimeshindwa kuzi download. Sijui baada ya kudown load real player what is next. Am very new to computers issues, kindly show me the steps it possible. Thanks brother
 
Nimeshindwa kuelewa hapo? Latoya alimkiss Ricco au alikataa, Kama kweli alikuwa amemkiss, basi hapo haijatulia. Washabiki kwa ujumla wanamuona Latoya maharage ya Mbeya, na sasa hii notion imeenda nje ya TZ, ana nafasi ndogo kama hajaweka sawa mkakati wake.

...Psychologically, hayo ndio matokeo ya kuwa kwenye confined environment.

...on the +ve side, BB series zinatuonyesha viewers tabia za binadamu. Hata zingefungwa cctv cameras mfano; Gereza la keko, na yanayojiri kurushwa live kwenye luninga, ungejionea maajabu ya tabia za binadamu 😀
 
Za leo kaka,

Samahani kwa kuwa out of topic, ombi langu ni jinsi gani mnaweza kunisaidia nipate series za the comedy kama ipo. Jamani na miss sana vibwende vyao. kama ipo sight ntashukuru kuipata. Alafu nimetumiwa mimbo ya dini na shy nika down load real player but nimeshindwa kuzi download. Sijui baada ya kudown load real player what is next. Am very new to computers issues, kindly show me the steps it possible. Thanks brother

..shy,

..msaidie dadako, mpatie link nzuri.
 
Ombi:

Tuwe na kawaida ya kuwa responsible human beings hata kama inauma. Jamani, wasanii wetu wanahitaji kupata kifuta jasho kutokana na kazi zao..sio kuwanyonya tuuuu..!

I can't imagine mtu anataka ku-download for free nyimbo za deen .. sasa unaiba nyimbo za deen ili iweje? Si asavali uibe hizi za 'bebi ai lavyuuuu?'

Watu bwana..
 
Last edited by a moderator:
Wajameni,

Mtanzania wetu katika jumba la Big brother kaanza uhusiano mpya na mangola Ricco. Wakati huo huo Ricco yupo na uhusiano mwingine na Mwanamke Mimi. Je tunachezewe au sisi tunachezea?
 
Mshiriki wetu kwenye jumba la big brother, Latoya yupo katika nomination week hii.
 
Ombi:

Tuwe na kawaida ya kuwa responsible human beings hata kama inauma. Jamani, wasanii wetu wanahitaji kupata kifuta jasho kutokana na kazi zao..sio kuwanyonya tuuuu..!

I can't imagine mtu anataka ku-download for free nyimbo za deen .. sasa unaiba nyimbo za deen ili iweje? Si asavali uibe hizi za 'bebi ai lavyuuuu?'

Watu bwana..

Wizi ni wizi tu, haijalishi unaiba kanisani au unaiba kwenye Bar, so cha kusisitiza ni kuacha wizi au njia za panya, period.
 
Naomba kuuliza je haiwezekani mtu kukaa 90 days without sex? Especially kwa wanawake? Wanaume watajitetea ati ni weak creatures which I don't support!!! Ninaamini wote waliopo kule au majority have partners left behind!!! Hivyo basi, ni lazima washiriki wa behave vizuri. Inanisikitisha kuwa kwa vitendo hivi kama a partner is out of the sight then sahau uaminifu. so then the issue oF TRUE LOVE PRACTICALLY IS A DREAM!!! IMEBAKI THEORY TU.
At the same time BBA in erode morals hasa za teens. Sioni fundisho pale wale sioni vipaji vinaendelezwa pale. Ati kwenda tu kuelewa maisha ya kawaida aishiyo binadamu. Basi si Binadamu wote wanaishi maisha ya members wa kule BBA. So the findings should never be generalized.
For Sure Latoya must be out. Anafikiri akitumia mbinu ya Richard atafaulu? Big brother this year atakuwa na other indicators. Thanks.
 
Maane, Sex sells. Thats why not even a comedy or even Family Show will be complete without sex. Sex makes people get glue to Tv and drives up Tv rating and thats what the producers and advertisers want./ Endemol wants a return for their investment
 
Maharage ya mbeya hayajaliwa bado?.....
...maane mimi mbona niliwahi kukaa miezi 6 bila sex ni uamuzi tu...
 
Maharage ya mbeya hayajaliwa bado?.....
...maane mimi mbona niliwahi kukaa miezi 6 bila sex ni uamuzi tu...

Mweeee,

bwashee utakuwa ulipiga puchu hadi mkono ukawa wa moto au ukaota sugu.
 
Upepo Unaonyesha Maharage ya Mbeya yanaweaa kubaki ndani ya nyumba, labda BIG anataka yabanguliwe kwanza maana maoni ya wadau yanaonyesha wanataka yabaki.
 
Tawana and Latoya are the suspects for the eviction... Stay tuned, nitawafahamisha nani katolewa!
 
Back
Top Bottom