Big Brother Africa III

Big Brother Africa III

Napendekeza tubadilishe mwelekeo wa Mjadala, Tuanze kuhabarishana kama ilivyokuwa hapo mwanzo kabla huyu dada hajatuchefua nyongo, wengine tunategemea hapa kwa Update, hatuna Luninga majumbani kwetu. Tafadhari wakuu, leteni update.
 
Anayofanya LATOYA hayana tofauti na RICHARD ingawa latoya kazidi....
Lakini hayo ndiyo malezi ya vijana yatokanayo na sera za CCM according to Mkuchika enzi hizo mwenezi katibu
 
huyo msichana ana hulka ya umalaya tu.
hapo tu anajua kuwa ulimwengu mzima unamuona na anafanya uharo huo, je akiwa chaka hakuna anayemfuatilia anakuwaje?

Hizo ndio taratibu za Big Brother. Tangu ilipoanza ilikuwa hivyo na hatukulalamika. Vipi leo tulalamike kwa sababu aliyeingia ni binti yetu. Mbona vijana wetu walipoingia wakafanya hayo hayo hatukulalamika. Kwa hiyo kulalia sawa ila kulaliwa soooooooo. Kula uliwe. Hata akitoka leo tukumbuke kuwa tayari chi imeshaingiza $100,000 fedha za kigeni kwa miaka 2iliyopita. nchi nyingine hata dola 1 hazijaingiza.
Kuna malaya wengi tu zaidi yake ila hawaonekani kwa watu wengi kama ilivyo Big Brother.
 
Huyu Latoya wenu atatolewa mapema sana, naona kaenda kutafuta mabwana mle.

Weak strategy.......

Kwa kuongezea .. anaelekea hana self esteem... msichana shurti uringe kidogo siyo tena unakuwa kama mchicha uliomwagiwa maji ya moto... na tiyari keshapewa jina " maharage ya Mbeya.maji mara moja"
atatoka mapema tu
 
malaya wana msemo wao wanasema "pussy on the bed, money in the pocket" sasa nahisi na huyo nae anaufuatisha tu...mwanamke malezi mema hawezi fanya uharo ule.
 
hebu nisaidieni...
nasikia eti yeye ndo alikuwa wa kwanza kuoga uchi je ni kweli?
tena alipofika tu uwani (bafuni) akatupia taulo nyuma ya mlango kisha akatafuta kopo hakuliona ndo wenzake wakamuonyesha bomba......
 
Nasikitika sana kwa sababu inaonekana watakao mtoa Latoya ni waTanzania, Jamani huu ni mchezo tu, tum-support huyu mtoto, BBA I (Mwsho) alishika nafasi ya 2, BBA II (Richard) alishika nafasi 1 na BBA III (Latoya) akishinda tutakuwa tumejenga jina sana katika Ukanda wa Sub Saharan Countires.



Mkuu, Pardon me for asking, But tutakuwa tumejenga jina regarding what haswa haswa??
 
Acheni tu aachie hukooooo akirudi kachoka ye mwenyewe, poor thing!
 
Kwa kweli sikujua kama hii thread ni intersting namna hii hadi nilipoamua kuisoma leo.

Nimechekeshwa sana na michango ya Wana JF hadi kutoa machozi, pia nimehuzunishwa sana na baadhi ya michango.

Hako kadada inaonekana ni kamalaya tu; BBA nadhani ni reflection ya hayo yanayotokea duniani. Kwa mambo yalivyo inaonekana tuko mbali sana kupata ushindi dhidi ya Ukimwi. Lazima tukubali kuwa Wawakilishi wetu wanatabia mbaya na hawa wanaionyesha dunia jinsi WaTz tulivyo na inabidi tukaze buti kurejesha maadili na heshima badala ya ku-propagate kondomu na uzinifu.

Sasa tujiandae kupata uncle (mtoto wa Latoya) ikiwa tutanusurika kumuuguza mgonjwa wa Ukimwi. NAdhani WaTz tumeanza kuhesabu miezi na pengine Mwezi Mei mwakani ikiwa tumenusurika Ukimwi basi tulee hako kamjomba.

NAomba mnikumbushe kuhusu yule dada wa Zambia katika BBA 1 ambaye alishinda; Je, alikuwa malaya? Mbona hakuwa na sifa mbaya ya kugawa na bado akashinda?

Tuache kusapoti ubazazi. Naomba Latoya ashinde ili tuone jinsi WaTz tutakavyompokea kwa bashasha na Chama tawala kitapokuja na Latoya na utekelezaji wa Ilani za Chama.
 
Kwa kuongezea .. anaelekea hana self esteem... msichana shurti uringe kidogo siyo tena unakuwa kama mchicha uliomwagiwa maji ya moto... na tiyari keshapewa jina " maharage ya Mbeya.maji mara moja"
atatoka mapema tu


LOL! WOS! Maharage ya mbeya, maji mara moja, umekula msosi. Thank you 🙂
 
Nadhani hawa BBA wana tawi lao Tanzania, je washiriki toka Tanzania huwa wanaaswa jinsi ya kubehave wakishaingia huko kwenye maskani ya BBA au wanaachwa tu wakafanye ufirauni bila kujali chochote?
 
Mkuu, Pardon me for asking, But tutakuwa tumejenga jina regarding what haswa haswa??

Kweli Mkuu!
Sijui tutakuwa tunajenga jina lipi haswa!
Richard watu walimwokoa ili asipoteze ndoa yake! This time Watz sidhani tuna haja kuendelea kujidhalilisha!
Olympics -Mkia, kila kitu cha maana mkia ila kwenye.... ndo tuwe kichwa?
 
Kwenye ufuska tunaongoza na ndiyo maana ukimwi unatumaliza, lakini hawa BBA nao wanaonyesha mambo mengine ambayo BB katika nchi nyingine hayaruhusiwi kuonyesha. Je, kwa nini wanafanya hivyo? (wanaongeza idadi ya watazamaji) Sana sana katika nchi nyingine wanaweza kuonyesha watu wanakiss hawaonyeshi zaidi ya hapo. Kuna nchi kama sikosei Australia walionyesha live jamaa anakula uroda, waziri mkuu aliyepita wa nchi hiyo akakipiga marufuku na hakipo tena nchi hiyo.

Viongozi lazima wawaambie hawa BBA kwamba kuna vitu vingine havistahili kuonyeshwa hadharani, kama hawataki kusikia hilo, basi BBA kipigwe marufuku Bongo. Wakati tunajidai tuna mikakati mikali ya kupambana na ukimwi, si wakati wa kuonyesha ngono hadharani. Hawa viongozi waliochapa usingizi inabidi waamke haraka.
 
Another male housemate known as:

Uti from Nigeria. He's married!
.....I can guese how the wife nervous she is in Nigeria......Mazee kukwepa mikandamizo katika BB house for 90 days ni kazi kweli kweli...
 
kwan mbona mwamsema sana huyo bint kwan mmeshamuona live anafanywa kama la basi kuen watazamaji tuassume an act move ivi kama move nyingine tunavyoziona watu mbalimbali wanashikwashikwa wanakiss mwenzenu anataka ajishindie
 
Pamoja na kuwa BBA ni burudani lakini ni lazima dada atuburudishe kwa ngono? Si heri angekuwa mcheza ngoma, tuna ngoma kibao nadhani ingetosha kumpa umaarufu. Tabia yake ni umalaya na nahisi na BBA TZ briefing wanayowapa hawa representative wetu ni kuingia na kutoka na gia ya ngono tu kwa kwenda mbele. Ngono yafanywa sana na mataifa yote katika Afrika.. lakini hawa wawakilishi wetu ndani ya BBA wanatufanya sisi tuonekane videdea wa ngono. Ni heri ajitokee mapema tu humo ndani kama keshaanza kumegwa. kama ni kushiriki tumeshiriki na kushinda tulishinda. kutoka kwake hakutatuuma....
 
Big Brother kutoana wiki hii




na Mwandishi Wetu



SHINDANO linaloendelea la Big Brother Afrika (BBA III) lenye washiriki 12, wiki hii litaanza kwa washiriki kuanza kupigiana kura ya kutoana ndani ya jumba hilo lililoko Afrika Kusini.

Hali ya hofu ilitawala kwenye jimbo hilo juzi kwa kila mshiriki kuhofia kupigiwa kura ya kuondolewa.

Ukiondoa kura za washiriki hao ambazo imedaiwa hazina nguvu pia watazamaji wa shindano hilo pia wanaruhusiwa kupiga kura ya kumuondoa mshiriki.

Mashabiki watazamaji wanaruhusiwa kupiga kura kwa meseji za simu, na meseji nyingine zitakuwa zikitumwa kwa kupitia mtandao wa Big Brother Afrika.

Katika shindano hili la mwaka huu Tanzania inawakilishwa na Latoya Lyakurwa ambaye ameonekana kuwa kivutio tangu alipoingia katika shindano hilo.

Katika shindano la mwaka jana mtanzania Richard bhenedziuto alishinda shindano hilo na kutwaa kitita cha dola 100,000 (ambazo ni sawa na shilingi milioni 100 za Tanzania).

 
Kweli Mkuu!
Sijui tutakuwa tunajenga jina lipi haswa!
Richard watu walimwokoa ili asipoteze ndoa yake! This time Watz sidhani tuna haja kuendelea kujidhalilisha!
Olympics -Mkia, kila kitu cha maana mkia ila kwenye.... ndo tuwe kichwa?

😀

...swadakta, huko kwenye... "sie" ndio kichwa cha mkia!
 
Back
Top Bottom