Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo msichana ana hulka ya umalaya tu.
hapo tu anajua kuwa ulimwengu mzima unamuona na anafanya uharo huo, je akiwa chaka hakuna anayemfuatilia anakuwaje?
Huyu Latoya wenu atatolewa mapema sana, naona kaenda kutafuta mabwana mle.
Weak strategy.......
Nasikitika sana kwa sababu inaonekana watakao mtoa Latoya ni waTanzania, Jamani huu ni mchezo tu, tum-support huyu mtoto, BBA I (Mwsho) alishika nafasi ya 2, BBA II (Richard) alishika nafasi 1 na BBA III (Latoya) akishinda tutakuwa tumejenga jina sana katika Ukanda wa Sub Saharan Countires.
Kwa kuongezea .. anaelekea hana self esteem... msichana shurti uringe kidogo siyo tena unakuwa kama mchicha uliomwagiwa maji ya moto... na tiyari keshapewa jina " maharage ya Mbeya.maji mara moja"
atatoka mapema tu
Mkuu, Pardon me for asking, But tutakuwa tumejenga jina regarding what haswa haswa??
.....I can guese how the wife nervous she is in Nigeria......Mazee kukwepa mikandamizo katika BB house for 90 days ni kazi kweli kweli...Another male housemate known as:
Uti from Nigeria. He's married!
Kweli Mkuu!
Sijui tutakuwa tunajenga jina lipi haswa!
Richard watu walimwokoa ili asipoteze ndoa yake! This time Watz sidhani tuna haja kuendelea kujidhalilisha!
Olympics -Mkia, kila kitu cha maana mkia ila kwenye.... ndo tuwe kichwa?