Big Brother Africa III

Big Brother Africa III

watu wanafanya soon nita.....kuna jamaa kila akimega shori anaacha kufuli anampa jipya.....kabati lake limejaa.....[/QUOTE]

Du hiyo ni kali kuliko zote!!!!!
 
Huku ndiko kuanguka kwa maadili yetu. Hakuna yeyote yule anayestahili kumpa uwanja huyu binti kwa kutumia mambo aliyoyafanya alipokuwa BBA III kujipatia umaarufu. Umaarufu kwa lipi hasa? 😕 labda anaweza kupewa ubunge wa kuteuliwa katika chama cha mafisadi.

There you go.......that's where she is heading to.
 
Nani ana namba yake ya simu anipatie nitest zali,kabla hajawahiwa na akina Armatus
 
Nadhani Mkuchika anaandaa maandamano ya kumpongeza Latoya kwa uwakilishi mwanana BB3 kulingana na malezi na makuzi ya sisiem
Wamebanwa tu na mambo ya Tarime, bila ya hivyo wangeshakurupuka na kutoa tamko
 
BBA3, mwanadada wa kitanzania ameenda kututia aibu, na afadhali ametoka mapema

BBA2, pamoja na kwamba wengi mnaona Mtanzania kashinda lkn ukweli ni kwamba maadili aliyoyaonesha huyu jamaa ni aibu tupu kwa Watanzania. Richard alikuwa Mme wa mtu kwanza , akaenda kufanya mambo ya ajabu na demu wa Angola huku Africa nzima ikijua jamaa ana mke.
Mbaya kbs ni vitendo vyenye mazingira ya kibakaji alivyovifanya,(vya kumtia vidole dada wa kinigeria aliyekuwa hajitambui kwa pombe na kisha kujisifia) ni aibu tupu kwa Watanzania. Ushindi wake umewakera wanaharakati wengi wa haki za wanawake na baadhi wanashauri yeye na BBA washitakiwe kwa vitendo hivyo.
Moja ya website zenye kulaaani vitendo vya richard imeandika:


Big Brother "Rapist" Wins $100,000 Prize; Threatened To "Bump" His Housemates With His Huge "Machinegun"
Remember the Big Brother Africa cast member who fingered his unconscious housemate and defended his manual rape by saying, "Well, this is Africa," after drunkenly sniffing his rapey digit? Yeah, he won the $100,000 prize. Richard Bezuidenhout, the 24-year-old married film student who was caught on tape committing what is, in most places in the world, considered a felony, still received the highest number of votes. You know, because he's so dreamy! Ironically (or is it more disgustingly) his fellow contestant and victim, 29-year-old medical assistant Ofunneka Molokwu, came in second place. The company that produces Big Brother Africa claims that what happened to Molokwu was consensual sex, even though she had been drinking so much that she vomited. I thought we'd already established that there are no shades of gray when vomit is involved?



Anyway, according to a First Post reporter's account of the incident:

Bezuidenhout, a married man, unbuttoned his trousers, boasted about his "machinegun" and taunted the female housemates with a pledge to "bump" them all. The camera then cut to the bedroom, filmed in muddy black-and-white night vision. Bezuidenhout was lying flat on his back in the middle of the bed. To his right, a huddled shape lay hidden beneath the duvet - Tatiana Durao, a 26-year-old Angolan with whom he has already had sex on the show. To his left lay Molokwu (pictured on previous page). Something was moving between her thighs - it looked like Richard's left hand. He seemed to be touching her private parts, and she seemed to be responding. She thrust her hips up and towards him, gripping his hand between her thighs. An idiot grin spread across Bezuidenhout's face.Molokwu remembers nothing from that drunken afternoon.

Big Brother 'Rapist' Wins [The First Post]

Earlier:
Big Brother Contestant On Fingering That Passed Out Housemate: "Well, This Is Africa"
Big Brother Africa's Resident Rapist: Still The Favorite To Win The 100 Grand
Cosmopolitan's Date Rape Panel: There Are No Shades Of "Gray" When Vomit Is Involved

Link ni hii, pia unaweza kugoogle for more on this.

Fingergate: Big Brother "Rapist" Wins $100,000 Prize; Threatened To "Bump" His Housemates With His Huge "Machinegun"

Pia jambo hili limewakera sana wanigeria, wengi wakiona richard ni kama mbakaji.

Hivi kuna cha kujivunia ktk hili kweli? Hii michezo mengine itatuabisha kila mwaka, kwani mbona nchi nyingine hazitumi watu, africa tuna nchi zaidi ya 50 na bigbrother ni watu 12 tu, kwa nini tusiwe kati ya hizo 38 zisizopata homa za aibu.
Waambieni mnet kama wanataka kutusaidia vijana, waje katoka sports na sio ufuska.
 
jamani tuwe fair ndugu zangunii wakati richard akifanya umalaya kule BBA kila mtu anamshadadia na wengine kumsifia rijali nakadhalika ....
sasa kama mwenzetu alikuwa akila vya wenzake inabidi jamani tukubali na sie kuliwa .....
mwisho naomba tuache kumtukana sana huyu mwanamke mara malaya mara
changu...mbona ndugu yetu alikuwa rijali na wenzetu wameamua kuonyesha urijali wao jamani

"""""""""""UKITAKA KULA SHARTI ULIWE""""""""""""
 
hii nayo kali, sijaona umuhimu wa BBA,kuwafungia vijana wetu pamoja kula na kulala na kunywa kunachangia yote haya

mwenye kujua umuhimu wa BBA anieleweshe please
 
Nani ana namba yake ya simu anipatie nitest zali,kabla hajawahiwa na akina Armatus

Habari za redio mbao mjini zinadai Latoya ni msagaji na ana mtu wake walieanza nae kabla hajaenda bigbrother na kule alikua anazuga tu.
 
Hivi big brother Africa3 inaendeleaje?shameji Ricco bado yumo ndani ya house?
 
Hivi big brother Africa3 inaendeleaje?shameji Ricco bado yumo ndani ya house?

FL, thread imedolola, wabongo wamesusa baada ya kuona dadayao kang'olewa... kisa cha mwamba ngoma vile na mazoea ya kushinda bila kubali kushindwa hali tu'washindani... lol
 
Habari za redio mbao mjini zinadai Latoya ni msagaji na ana mtu wake walieanza nae kabla hajaenda bigbrother na kule alikua anazuga tu.
Wewe naomba namba yake tu ataacha kubrendana.......
 
FL, thread imedolola, wabongo wamesusa baada ya kuona dadayao kang'olewa... kisa cha mwamba ngoma vile na mazoea ya kushinda bila kubali kushindwa hali tu'washindani... lol

Ndo hapo naona walitegemea Latoya abaki hadi mwisho!Ila mimi napenda kujua imefikia wapo!
 
Ndo hapo naona walitegemea Latoya abaki hadi mwisho!Ila mimi napenda kujua imefikia wapo!
Leo kuna uwezekano mkubwa dada Sheila (from Kenya) akatolewa, let's wait n see...

Tawana pia anahisiwa kuwa victim. Dakika si nyingi utapata updates
 
Fid Q from Tanzania is performing right now... Yupo na Mzee Zahir Zorro (Babake Banana Zorro)
 
Back
Top Bottom