Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Mkipanga kikosi cha leo kwenye mechi na yanga nna uhakika mtang'oa hadi magoli
Mkuu!

kwani wana kikosi kingine tofauti na hiki cha leo?

yaani leo ndio walimaliza silaha zao zote....Hakuna hata aliye majeruhi...!hahahaha
 
Subirini February mkutane na mnyama
February yanga inatangaza ubingwa alafu utie mguu kasome historia inayosema-:

"ENDAPO YANGA IKIKUZIDI POINT NA MECHI ZILIZOBAKI NI MECHI ZA KUTANGAZA UBINGWA, HAPO SAHAU.

NB. NYIE MKIA FC CLEANSHIT FIRST ROUND MLITUZIDI POINT 9.

WAULIZE WENZIO INGEKUWA WAKIMATAIFA WAMEKUZIDI HIZO POINT 9 NINI KINGETOKEA!!!!
 
Angalau viti vimesalimika.
Nimeshangaa jana wameliita bonanza Kombe la Mapinduzi
Kama kawaida, pumzi imeishakata. Sasa ni kupigwa tu!
 
Kama tungeongoza sisi kwa tofaut ya point 9 nadhani mwezi huu kabla ya kuisha tungekua tushatangaza ubingwa, hili hata mikia wanajua
 
Angalau viti vimesalimika.
Nimeshangaa jana wameliita bonanza Kombe la Mapinduzi
Kama kawaida, pumzi imeishakata. Sasa ni kupigwa tu!
Tuliwatahadharisha mapema na baiskeli yao ya mbao sembo na wenzie wakadhani hatujui tunachokisema sasa sijui yupo eneo gani korofi mpaka asije kutoa tathmini ya mechi .
 
Kama tungeongoza sisi kwa tofaut ya point 9 nadhani mwezi huu kabla ya kuisha tungekua tushatangaza ubingwa, hili hata mikia wanajua
Walipoanza kushinda kwa mbinde ushindi mwembamba nilimwambia sembo sio dalili njema kwenu akakiri na kusema kocha kaliona hilo sasa mambo ndio hivyo tena nafasi ya pili waishike vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…