Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
Azam atakaa tu msuva+tambwe wanatafuta kiatu cha gold.Bado yeboyebo nishamaliza kazi kwa Simba asiyeng'ata...tunafukuza mwizi kimyakimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam atakaa tu msuva+tambwe wanatafuta kiatu cha gold.Bado yeboyebo nishamaliza kazi kwa Simba asiyeng'ata...tunafukuza mwizi kimyakimya
Simba piga hao!
mkuu Yebo fc hakosi yatakuepo tu yakishuhudia tunajiimarisha kileleni!
Iv mmesahau mlipigwa ngapi Zenj
Mkuu!Mkipanga kikosi cha leo kwenye mechi na yanga nna uhakika mtang'oa hadi magoli
Mara ya mwisho umemfunga Yanga sC?Subirini February mkutane na mnyama
Wewe na wambea wenzio laleni sasa,gemu wapige wengine kumwaga mmwage nyinyi[emoji4]
Tayari Mkuu.
February yanga inatangaza ubingwa alafu utie mguu kasome historia inayosema-:Subirini February mkutane na mnyama
Kama tungeongoza sisi kwa tofaut ya point 9 nadhani mwezi huu kabla ya kuisha tungekua tushatangaza ubingwa, hili hata mikia wanajuaFebruary yanga inatangaza ubingwa alafu utie mguu kasome historia inayosema-:
"ENDAPO YANGA IKIKUZIDI POINT NA MECHI ZILIZOBAKI NI MECHI ZA KUTANGAZA UBINGWA, HAPO SAHAU.
NB. NYIE MKIA FC CLEANSHIT FIRST ROUND MLITUZIDI POINT 9.
WAULIZE WENZIO INGEKUWA WAKIMATAIFA WAMEKUZIDI HIZO POINT 9 NINI KINGETOKEA!!!!
Eti ni kweli mmekata rufaa?Wewe na wambea wenzio laleni sasa,gemu wapige wengine kumwaga mmwage nyinyi
Tuliwatahadharisha mapema na baiskeli yao ya mbao sembo na wenzie wakadhani hatujui tunachokisema sasa sijui yupo eneo gani korofi mpaka asije kutoa tathmini ya mechi .Angalau viti vimesalimika.
Nimeshangaa jana wameliita bonanza Kombe la Mapinduzi
Kama kawaida, pumzi imeishakata. Sasa ni kupigwa tu!
Walipoanza kushinda kwa mbinde ushindi mwembamba nilimwambia sembo sio dalili njema kwenu akakiri na kusema kocha kaliona hilo sasa mambo ndio hivyo tena nafasi ya pili waishike vizuriKama tungeongoza sisi kwa tofaut ya point 9 nadhani mwezi huu kabla ya kuisha tungekua tushatangaza ubingwa, hili hata mikia wanajua
Sasa wewe ndio utafika na wachezaji wako hao wakuokoteza okoteza!Wakimataifa ata robo fainali hamfiki
hteh mkuu yanga msimu uliopita walishiriki robo fainali shirikisho umesahauWakimataifa ata robo fainali hamfiki