Sembo anasoma post zote. Hawezi kujibu bado anaugulia maumivu. Ataibuka siku za usoni. Yanga akishinda leo ndiyo kabisa!Tuliwatahadharisha mapema na baiskeli yao ya mbao sembo na wenzie wakadhani hatujui tunachokisema sasa sijui yupo eneo gani korofi mpaka asije kutoa tathmini ya mechi .
Jana tumegawana nyama ya Simba pale Mivinjeni bar kama tulivyokubaliana hapo awali!Hunizidi mimi Mkuu.
Nina furaha sana,sana.
Huku Yanga kule Arsenal
What a wonderful day?
Cheers [emoji485]
Mambo ni leo bwana,siwezi kusubiri [emoji39]Jana tumegawana nyama ya Simba pale Mivinjeni bar kama tulivyokubaliana hapo awali!
Ligi ipi tulifungwa 4 na mnyama akaongezea 4?Watu povu linawatoka balaa. Mbona yanga walipigwa 4 na hawa hawa azam, na mnyama akawaongeza nne nyingine. Ligi bado, tulieni
Muamala wa 50,000/=kwenda kwa Bocco uligoma jana!Mambo ni leo bwana,siwezi kusubiri [emoji39]
Ina maana mmesahau kilichotokea mapinduzi cup?Ligi ipi tulifungwa 4 na mnyama akaongezea 4?
kweli umechanganyikiwa,mkuu lini simba alimfunga yanga 4,kuweni na aibu hats kidogoWatu povu linawatoka balaa. Mbona yanga walipigwa 4 na hawa hawa azam, na mnyama akawaongeza nne nyingine. Ligi bado, tulieni
Ushindi ni ushindi tuu, kwani penati zilikua ngapi ngapi siku ile?kweli umechanganyikiwa,mkuu lini simba alimfunga yanga 4,kuweni na aibu hats kidogo
Matokeo yanga 2 mwadui kama simba 0Yanga matokeo vip huko???
Ndio tunazidi kumpoteza semboSembo anasoma post zote. Hawezi kujibu bado anaugulia maumivu. Ataibuka siku za usoni. Yanga akishinda leo ndiyo kabisa!
Kuna hatari ya kumpoteza hadi mwisho wa msimu.Ndio tunazidi kumpoteza sembo
Waliochukua mapinduzi watacheza klabu bingwa Africa?Ina maana mmesahau kilichotokea mapinduzi cup?
Katika kitu anacho kiweza sembo ni kujiweka eneo korofi hii ana PHDKuna hatari ya kumpoteza hadi mwisho wa msimu.
kikiki omoWewe na wambea wenzio laleni sasa,gemu wapige wengine kumwaga mmwage nyinyi