Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Tuliwatahadharisha mapema na baiskeli yao ya mbao sembo na wenzie wakadhani hatujui tunachokisema sasa sijui yupo eneo gani korofi mpaka asije kutoa tathmini ya mechi .
Sembo anasoma post zote. Hawezi kujibu bado anaugulia maumivu. Ataibuka siku za usoni. Yanga akishinda leo ndiyo kabisa!
 
munataka kukimbia wakati hamuna burekii wot do you expect kwa Lambalamba Aka john Boko
 
Hunizidi mimi Mkuu.
Nina furaha sana,sana.
Huku Yanga kule Arsenal
What a wonderful day?
Cheers [emoji485]
Jana tumegawana nyama ya Simba pale Mivinjeni bar kama tulivyokubaliana hapo awali!
 
Watu povu linawatoka balaa. Mbona yanga walipigwa 4 na hawa hawa azam, na mnyama akawaongeza nne nyingine. Ligi bado, tulieni
 
Back
Top Bottom